DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Nyerere aliacha nchi ikiwa na uchumi Mbovu sana..Mwinyi ndiyo kaua nchi ....hapa tz marais waisiharamu ndiyo wanao hua nchi yetu siku zote kisha wanasingizia wakristo unajua nyerere kaondoka madarakani dola moja ya marekani ilikuwa sawa na sh ngapi? Je unajua nini kilitokea baada ya mwinyi kushika nchi kuhusi shilingi yetu ....mcheki samia naye bei ya vitu zinakwenda juu tu.
Na ili kunusuru Uchumi aling'atuka October 1985..
Kutoka mwaka 1974 mpaka 1984, GDP ya Tanzania ilikuwa inakuwa kwa Rate ndogo sana ya 2.6% per year wakati population Ilikuwa ikiomgezeka kwa kasi sana kwa rate ya 3.4% kila mwaka ( kasome kitabu cha "Tanzania; the end of ujamaa". The Economist. Vol. 7460 August 1986. p. 35)
Naendelea......
uchumi wa nchi kutoka vijijini na Mijini uliPoromoka sana kipindi hicho japo Nyerere alianzisha sheria ya Tanzania's minimum wage laws..
Furthermore, the currency was overpriced, basic goods were scarce, and the country had over three billion dollars of foreign debt. Kwahyo hapa ndo unaita nchi ilikuwa Bora?
Agricultural production was low, na hata general opinion was that Nyerere's Ujamaa socialist policies had failed economically.
Kama unakumbuka kuhusu Sera ya Ujamaa ilikuwa ni ku "nationalize" major production, the forced re-villagization of the rural population into communal farms, and the banning of any opposition parties.
Nyerere's supporters were opposed to involving the International Monetary Fund (IMF) and World Bank in domestic economic reforms, believing it would cause instability and conflict with their socialist values.
Also, Tanzania's relationship with the IMF had been strained since Nyerere's government failed to meet the loan conditions from a 1980 financial package agreement.
Na ndo nchi ikaendelea kuwa ngumu Dollar ikapanda watu wakasikika wakilia..
Mwinyi ali negotiate na Kuweka sawa Tofauti na IMF Na World Bank na hatimaye Tanzania ilipata mikopo na maisha yakaanza kuwa Simple tifauti na yalivyokuwa..
SHOULD I CONTINOU TO give you a lecture Mr lwiva?