WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Basi uliombalo litimie mapema asante.Hata wao wamejidhuru kwa maneno yao Israel anaenda kuwatembelea soon nitakutag hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi uliombalo litimie mapema asante.Hata wao wamejidhuru kwa maneno yao Israel anaenda kuwatembelea soon nitakutag hapa
..... Ni Kumalizia vitu walivyoa anzisha wanaume walio umiza kichwa na kukubali kupigwa mikwara kama ule mradi wa Nyerere rufiji...au ubora kwenye nini ?Si mlisema Hana ubavu wa kuimaliza lakini. Mmeamua kupiga u- turn baada ya kuona Samia ni raisi Bora kumzidi rais yeyote aliyewahi kuongoza nchi hii
Hakuna anayekataa hilo kuhusu ubunifu na upambanaji wa Magufuri.Tatizo linakuja pale ambapo watu wachache wanapobeza juhudi na mafanikio ya Watangulizi wake.Nchi hii Magufuri amekuta kila kitu kipo mfano wasomi kibao ameawakuta,ccm ameikuta,vyama vya upinzani amevikuta,wazee wastaafu amewakuta,maendeleo ameyakuta,barabara amezikuta,madaraja ameyakuta,umeme ameukuta,mkikoa ameikuta,makabila ameyakuta,miji ameikuta,majiji ameyakuta,Dodoma ameikuta,Mwanza ameikuta,Arusha ameikuta,Urais ameukuta,Mawaziri amewakuta,Wabunge amewakuta,ukoloni hajaukuta halafu mtu anasema bila Magufuri sijui Tanzania ingekuwa wapi.Hapo ndipo ugomvi unaanzia,hasa mimi siamini katika propaganda.Ninathamini ukweli kwa sababu unatoa msingi imara kwa maisha yenye maana na uhusiano wenye uaminifu. Uongo unaweza kuleta matokeo mabaya na kuvuruga uhusiano. Kwa hivyo, napendelea ukweli kila wakati, hata kama inaweza kuwa ngumu kwa wakati fulani."
Kwa sababu maendeleo yaliyofanyika yameonekana kwa macho sio kwa kuhadithiwa tena serikali ya hawamu hii ikisema wazi inamalizia miradi iliyoachwa na Magufuli.
Basi naamini nipo katika ukweli.
Samia Hana nongwa kama like joka. Kikwete alianzisha mradi wa kupanua bandari bagamoyo badala ya jpm aumalizie akaona hatapata sifa akaona aanzishe vya kwake. Samia amemaliza miradi yake na wa bagamoyo pia wa jk. Mama Hana Haina na hatakagi masifa ya kijinga kutoka na dini yake ya mungu siyo dini ya kikristo ya shetaniUbora wake ni kwenye nini we kichwa
..... Ni Kumalizia vitu walivyoa anzisha wanaume walio umiza kichwa na kukubali kupigwa mikwara kama ule mradi wa Nyerere rufiji...au ubora kwenye nini ?
MWAMBA HUYU HAPA..
View attachment 2938399
Mkuu labda kama naongea na mtoto wa 2000Hakuna anayekataa hilo kuhusu ubunifu na upambanaji wa Magufuri.Tatizo linakuja pale ambapo watu wachache wanapobeza juhudi na mafanikio ya Watangulizi wake.Nchi hii Magufuri amekuta kila kitu kipo mfano wasomi kibao ameawakuta,ccm ameikuta,vyama vya upinzani amevikuta,wazee wastaafu amewakuta,maendeleo ameyakuta,barabara amezikuta,madaraja ameyakuta,umeme ameukuta,mkikoa ameikuta,makabila ameyakuta,miji ameikuta,majiji ameyakuta,Dodoma ameikuta,Mwanza ameikuta,Arusha ameikuta,Urais ameukuta,Mawaziri amewakuta,Wabunge amewakuta,ukoloni hajaukuta halafu mtu anasema bila Magufuri sijui Tanzania ingekuwa wapi.Hapo ndipo ugomvi unaanzia,hasa mimi siamini katika propaganda.
Sasa we ni kichwa .... Kweli ume anza leta mambo ya udini hapa. Dini ya nani ya shetani ?!Samia Hana nongwa kama like joka. Kikwete alianzisha mradi wa kupanua bandari bagamoyo badala ya jpm aumalizie akaona hatapata sifa akaona aanzishe vya kwake. Samia amemaliza miradi yake na wa bagamoyo pia wa jk. Mama Hana Haina na hatakagi masifa ya kijinga kutoka na dini yake ya mungu siyo dini ya kikristo ya shetani
Kwa hiyo hata mdugu zako wanavyojifia huko Mungu anaamua UgomviMungu aliamua ugomvi,acheni visingizio.
Kwa hiyo mnamchukia Magufuli kea sababu ni mkristo??Samia Hana nongwa kama like joka. Kikwete alianzisha mradi wa kupanua bandari bagamoyo badala ya jpm aumalizie akaona hatapata sifa akaona aanzishe vya kwake. Samia amemaliza miradi yake na wa bagamoyo pia wa jk. Mama Hana Haina na hatakagi masifa ya kijinga kutoka na dini yake ya mungu siyo dini ya kikristo ya shetani
Tumia akili acha kutumia kijambio kufikiri kama sa100 ....katiba siyo ulemavu baada ya nyerere kuondoka waliofuata walishindwa nini kuiboresha nyerere alifanya kwa kiwango chake kuipigania haki na wengine walitakiwa kuendelea kufanya asiyo fanya nyerere ...hata nyerere mwenyewe aliwai kusema anashangaa wanabakisha mabovu aliyo fanya na kuondoa mema aliyo yafanya .... kumbuka nyerere ndiye aliyeimiza kukubaliwa kwa mfumo wa vyama vingi licha ya kufanya hivyo akiwa nje ya urais ...kumbuka kura zilipo pigwa watanzania zaidi ya asilimia 80 walikataa mfumo wa vyama vingi ila Nyerere akasema kuwa ni lazima tukubali vyama vingi ili serikali ipate changamoto za kukosolewastructure ya ufisadi ni huyo Rais wako nyerere kutuwekea katiba mbovu na misingi ya woga ,,,pale hakuna Rais tulipigwa kwa kutengenezewa sifa nzuri.
Sikusema sababu nimesema vita kutokea ..swali vilitokea au la ...je licha ya sababu je idi amini asinge vamia kagera vita vingetokea ? Mizozo ni kitu cha kawaida baina ya nchi na nchi ila kitendo cha idi amini kuvamia kagera kulifanya sababu kuu ya vita ..hata sasa kuna mizozo baina ya tanganyika na Zanzibar ila hakuna vita.Na aliacha watanzania Bado 75% Hawajui kusoma na kuandika pia..
Na kuhusu Vita ya Uganda na Tanzania hiyo tuiache kwa sababu hakuna sababu ya Vita iliyokuwepo..
Usidanganyike na Story unazosikia mtaani..
Story uliyowahi kuisikia kuhusu Iddi amini hazina uhalisia hata moja
Hakika ila kukumbatia covid 19 bungeni bado ana shida kubwa sana ya uelewa.Samia Hana nongwa kama like joka. Kikwete alianzisha mradi wa kupanua bandari bagamoyo badala ya jpm aumalizie akaona hatapata sifa akaona aanzishe vya kwake. Samia amemaliza miradi yake na wa bagamoyo pia wa jk. Mama Hana Haina na hatakagi masifa ya kijinga kutoka na dini yake ya mungu siyo dini ya kikristo ya shetani
Kwa taarifa yako baada ya Nyerere hakuna aliyefanya kazi kama Ndugu Benjamin Mkapa kongole kwake,ndiyo maana Magufuri alimtanguliza mapema mzee wa watu ili afute rekodi zake lakini alishindwa kwa sababu Mungu aliamua ugomvi.Mkuu labda kama naongea na mtoto wa 2000
But mimi ni mtu mzima nimekuwepo toka utawala wa mwinyi
Kipindi cha nyerere nilikuwa mdogo kwa hiyo siwezi kujaji sana huko kwa Nyerere
Na sikatai wala sipingi kwamba kila Kiongozi alifanya kwa nyakati zake lakini katika hao kuna bora aliefanya mambo mazuri kwa muda mchache tena kuna ndoto zilikuwapo toka enzi za mwalimu waliopita walishindwa kufanya mfano tu serikali kuamia Dodoma na Ujenzi wa Bwawa kubwa la kufua umeme zilikuwa ni ndoto toka enzi za Nyerere but yeye kafanikiwa
Hata kama darasani wanafunzi wote wamefaulu bado haikosekani kuwa na mwanafunzi aliefaulu zaidi kuwazidi wenzake
Mungu ni mwema watanzania wengi walionewa sasa Mungu kawapa baraka ya kuishi maisha yao na siyo maisha ya mtu mmoja mwenye nguvu.Mungu aliamua ugomvi,acheni visingizio.
Imani za kishirikina.Kuna mzee mmoja leo kaniambia magu Yuko ikulu ya chamwino ,ndiio maana mma etu hataki kuishi nae mnk mzimu wa maguful upo hai
Akasema Hadi mwakani ndio magu atafariki rasmi
🤣🤣🤣 kwamba MAGUFULI alimuua mkapa??? Ili afute historia yakeKwa taarifa yako baada ya Nyerere hakuna aliyefanya kazi kama Ndugu Benjamin Mkapa kongole kwake,ndiyo maana Magufuri alimtanguliza mapema mzee wa watu ili afute rekodi zake lakini alishindwa kwa sababu Mungu aliamua ugomvi.
Mbowe na wewe achia madaraka basi miaka yote hiyoImani za kishirikina.
Tutakufa tu ila Mungu hapendi uonezi na hapendi mwanadamu kutengeneza maisha ya nani aishi na nani afe ili niweze kutawala vema.Kwa hiyo hata mdugu zako wanavyojifia huko Mungu anaamua Ugomvi
Au nyie ndio watu wazuri msiokufa