Ila nyie wanafiki Sana. Alipopotezwa Ben Saanane mliongea maneno ya dhihaka kana kwamba hakustahili kisa ni CHADEMA, the Same kwa lwajabe na Gwanda. Hata Lissu alipomiminiwa riasisi mliongea kwa dhihaka. Ila Magufuli alipofariki kwa matatizo yake ya moyo mnajifanya kushutumu watu kuwa wamemuua. Kifo Cha Magufuli kiwe somo, unapoua watu jua na wewe utakufa.
Kwani Mbowe ameuwa wangapi hadi sasa hata Lissu alipigwa lisasi na Mbowe
Chacha wangwe alisha wai ambiwa na Mbowe huwezi pata kiti changu hata ufanyaje
Ubishi wa Chacha wangwe wakutaka kiti kulimpelekea kuonekana mkorofi na si mwaminifu ndani ya chama hicho . alifanyiwa kila aina ya ftina na unafki hili ashindwe kuwania na kuupata uwenyekiti
Kilicho mkuta Chacha wangwe kijana shupavu hodari sana makini m/mungu ndo anajua na ndio atakae toa hukumu hiyo juu ya umafia alio fanyiwa kijana huyo
Mbowe anawajibika sana juu ya kuwafanyia hujuma vijana ambao wanakua na niaya na ndoto ya kuwania kiti hicho ndani ya chama. Lazima hujuma zita asisiwa na mbowe ili tu kuwaferisha wasiweze kuchukua kiti
Zitto huyu jamaa baada ya kuweka wazi niaya na dhamira yake ya kutaka uongozi mkubwa ndani ya chama hicho alijikuta kajipalia kaa la moto mbele ya mbowe na kuanza kufanyiwa hujuma na kupandikiziwa chuki dhidi yake kwa wanachama na mashabiki wao
Zitto alituumiwa yakua ni kibaraka wa ccm anatumika na kutumiwa na ccm kuivuruga chadema
Zitto alikuja ona shubiri pale baada ya kudai apewe mrejesho juu ya matumizi ya fedha za ruzuku walizo pewa .
Alionekana ni adui mkubwa wa chama na kuambiwa kakidharirisha na kukivua nguo chama hicho
Zitto alitaka kuvuliwa uanachama ila walikwama na kushindwa kwa kukosa kutimiza baadhi ya vipengele na taratibu
Hayo yote ufanywa na mbowe kuwafukuza na kuwakimbiza chamani wale wote ambao wanakitaka kiti alicho kikalia kwa hisani ya baba mkwe wake