kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Hakika daima tutaendelea kukumbuka mema yakeAnawezaje kufa yule mwamba!
Kile killikuwa kichwa haswaa! Wajinga wajinga walinyooka.
Yule dingi noma sana.
Akisema sitaki ujinga anamaanisha kweli na zile kauli zake na sauti yake kama umevurunda, lazima
unazimia ukisia sauti yake.
Mola amupe pumziko la milele Jiwe
Pole.Kwa taarifa yako kama hujui mtu pekee aliekuwa tegemeo kwa Mgufuli ni Mkapa
Magufuli alikuwa kimbilio lake ni Mkapa ndio maana walipoanza kusuka mpango wa kumuua Magufuli walianza kuangusha nguzo zake kwanza ili iwe rahisi kuumua mpendwa wetu
Ila nakuhakikishia ipo siku mtajulikana tu waambie wenzio damu ya mtu haiendi bure
Haya ni maneno aliongea magufuli kwenye msiba wa mkapa
Mzee Mkapa alinilea kama mtoto wake, alikuwa ni shujaa wangu, alinionyesha upendo, hata kwenye shida Mzee Mkapa hakuniacha kamwe, hakutaka nianguke, alinilea kama mtoto wake. Wakati wote alikuwa ananionyesha upendo, hivyo basi kuondoka kwake ni pigo kubwa kwangu, nimepoteza mtu muhimu katika maisha yangu.
Mkapa ndio ilikuwa nguzo ya Shujaa Magufulli ndio maana wahaini wakaanza naye mkapa
Uchawa kwa kiongozi wa dini haufai,mbona sijamsema vibaya Askofu Niwemugizi au Bagonza ila nimemsems aliyekuwa anatetea maovu ya Magufuri.Asante kwa kuwatukana viongozi wa dini kisa wewe ni imani tofauti
Soma hapa
1 Petro 2:17: "Heshimuni wote, pendeni ndugu wa kiroho, mwogopeni Mungu, mheshimuni mfalme." Hii inatuonyesha kwamba tunapaswa kuheshimu kila mtu, ikiwa ni pamoja na viongozi wa dini nyingine, wakati tunawajibika kwa Mungu.
Mkuuu maoni yako hayapigwi runguKiongozi aliyegoma Kufa kwa miaka 20 ni Nyerere Peke yake
Mpuuzi sana wewe,alimyoosha nani??zaidi ya kuwaonea CDM??Anawezaje kufa yule mwamba!
Kile killikuwa kichwa haswaa! Wajinga wajinga walinyooka.
Yule dingi noma sana.
Akisema sitaki ujinga anamaanisha kweli na zile kauli zake na sauti yake kama umevurunda, lazima
unazimia ukisia sauti yake.
Mola amupe pumziko la milele Jiwe
Iddi amini hakuvamia Kagera..Sikusema sababu nimesema vita kutokea ..swali vilitokea au la ...je licha ya sababu je idi amini asinge vamia kagera vita vingetokea ? Mizozo ni kitu cha kawaida baina ya nchi na nchi ila kitendo cha idi amini kuvamia kagera kulifanya sababu kuu ya vita ..hata sasa kuna mizozo baina ya tanganyika na Zanzibar ila hakuna vita.
Wewe unaona CDM wana akili timamu mkuu.Mpuuzi sana wewe,alimyoosha nani??zaidi ya kuwaonea CDM??
Futa hii comment nikununulie andaziIddi amini hakuvamia Kagera..
Hizo zilikuwa story mkuu na initiative ya kuwavamia Uganda..
Mkuu Kipindi Vita Inaanza nilikuwa sina umri mkubwa sana japo nilikuwa Mtoto ila baadae nilijitafutia Ukweli kwa sababu Vita ilifanikiwa kumuua kaka Yangu pia!Futa hii comment nikununulie andazi
Hakuna rais wa hovyo kuwahi kutokea kama yule. Ndio maana haishi midomoni. Acha nchi ipumue na huyu kimeo mwingine.Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.
Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema bwana ya Nyerere lingekuwa limeshaisha na hivyo mgawo wa umeme tungekuwa tunausikia tu.
Treni Dar Dodoma ingekuwa tayari. Upigaji wa hela za umma ungekuwa mdogo sana.
Hadi 2030 tutasikia mengi.
Jana watu walilia, mkuu wa majeshi mstaafu alilia.
Hivi mna dhani Nyerere ana akili fupi kama hizi zenu? Eti alitaka kumweka Obote, then what? Don't reduce that man to mediocre and banana leaders wenu wa kawaida wa CCM.Mkuu Kipindi Vita Inaanza nilikuwa sina umri mkubwa sana japo nilikuwa Mtoto ila baadae nilijitafutia Ukweli kwa sababu Vita ilifanikiwa kumuua kaka Yangu pia!
Kipindi vita inaanza nilikuwa Nina umri wa miaka 6 mwaka 1978 na iliisha mwaka 1979 nikiwa na miaka 7..
Ukitaka kubalance story yote ya Bita vya Idd amini..
USitafute story kwa upande mmoja Nenda kagera Soma historia ya pale uliza wazee wa pale ukitoka hapo nenda Uganda uliza watu wa uganda..
Kiufupi ni kuwa Nyerere alitaka Rafikiye Obote ndo awe Rais..
Na alifanikiwa kufanya hivyo..
Nyerere alikuwa rais wa kawaida sana, Narudia Tena wa kawaida sana..Hivi mna dhani Nyerere ana akili fupi kama hizi zenu? Eti alitaka kumweka Obote, then what? Don't reduce that man to mediocre and banana leaders wenu wa kawaida wa CCM.
Mbowe ni gaidi.Ila nikuhakikishie, Kama Mbowe angehusika Leo angekuwa amenyongwa. Umesahau kitendo Cha Mbowe kuajiri JWTZ wastaafu kikampatia kesi ya ugaidi?. Sembuse aue na serikali ijue. Tuwe realistic.
Sawa mtoto wa malasusaSijasema ni chawa, Bali nimekupa uhuru uchague tofauti kati ya Kiongozi wa dini na chawa.
Acha wivuEti viongozi wa dini, nimecheka vibaya. Kwamba viongozi wa dini ndio Nini kwa mfano? Au kwakuwa ww umelemazwa na hizo dini za watu weupe, basi mtu akiwa mbele ya hao walimu wa hizo dini ndio kafia kwa Mungu?! Yaani umeongea use@nge wa hali ya juu.
Wivu kwa kuwa walienda kumuombea dakika za mwisho na hicho kitu ndio kinawatesa sana hadi mnawachukia maaskofu walioenda kumuombeaUchawa kwa kiongozi wa dini haufai,mbona sijamsema vibaya Askofu Niwemugizi au Bagonza ila nimemsems aliyekuwa anatetea maovu ya Magufuri.
Ahya poa.Mtaongea Sana, ila hakuna Kama Nyerere.
Kifo chema Cha kufia mbele ya viongozi wa dini? Acha vichekesho bana.Acha wivu
Omba na wewe Mungu akujalie kifo chema.