Kwa taarifa yako kama hujui mtu pekee aliekuwa tegemeo kwa Mgufuli ni Mkapa
Magufuli alikuwa kimbilio lake ni Mkapa ndio maana walipoanza kusuka mpango wa kumuua Magufuli walianza kuangusha nguzo zake kwanza ili iwe rahisi kuumua mpendwa wetu
Ila nakuhakikishia ipo siku mtajulikana tu waambie wenzio damu ya mtu haiendi bure
Haya ni maneno aliongea magufuli kwenye msiba wa mkapa
Mzee Mkapa alinilea kama mtoto wake, alikuwa ni shujaa wangu, alinionyesha upendo, hata kwenye shida Mzee Mkapa hakuniacha kamwe, hakutaka nianguke, alinilea kama mtoto wake. Wakati wote alikuwa ananionyesha upendo, hivyo basi kuondoka kwake ni pigo kubwa kwangu, nimepoteza mtu muhimu katika maisha yangu.
Mkapa ndio ilikuwa nguzo ya Shujaa Magufulli ndio maana wahaini wakaanza naye mkapa