Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
- Thread starter
- #241
Kwakubadili user name au sio??Nipo humu toka 2009 , hebu jaribu kunitoa shwain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakubadili user name au sio??Nipo humu toka 2009 , hebu jaribu kunitoa shwain
Kabisa mkuu.Bado ni mwanadamu hata shetani umuhitaji pia ili aliangushe kanisa
Unafeli mwana,peleka motooSiwezi kumla huyo mama
Acha nifeli broUnafeli mwana,peleka motoo
Ngono kwa kila mtuWalokole na ngono.
'MTU hupoteza kipande Cha mkate kwa kahaba lakini kwa MKE wa MTU hupoteza uhai wake wote'Aiseeh wanajamvi habari zenu
Jana niliachwa hoi na kitu kilichonitokea yaan Imani imekua kitu cha kuchezewa na watu waliopewa dhamana.
Jana nilishinda mitaa ya Leaders Club nikipoteza mawazo na washkaji mpaka mida ya saa sita usiku nikarudi zangu kwetu huku Country side Ilala vijijini.
Wakati napanda kwa bed nacheki simu nakutana na msg kutoka kwa mama mchungaji inasema "mambo baba jayaron" ofcoz alitumia jina langu la ujanani coz ananifahamu since i was young boy mwanzoni mwa miaka yangu ya 20's au kushuka chini kidogo.
Hiyo text iliingia saa sita kasoro tano nikaona mama mchungaji bado yupo online ngoja nireply tukaanza kuchat sasa.
Nikirudi nyuma kidogo ya wakati tulipokua at one church kalikua ni kabinti kana mpenda saana Mungu na mimi kipindi icho nilikua naanza kujuajua videmu nikawa namfukuzia akawa ananichomolea kwakua kalikua bado yaani ka bikra... so nikajichanganya na mademu wengine kakanichukia ila baadae niliskia kalishikwa na mapepo baada ya kujichanganya kwenye mgegedo kakaombewa kika settle mi ndo nkazidi kukaogopa"
Kuhusu mchungaji, mume wake ni kijana tuliyekua naye wote kanisa though he is older than me kwa miaka notless than 7 may be... we call each other brothers na tunaheshimiana saana.
Brother after being broken na piss moja yenye shep hatari ya kipare (piss ya kipare ilidai bro amepooza saana na anahitaji mwanaume aliyechangamka akajamp na playerboy mmoja hapo church).
Mchungaji ikabidi ahamie kwa mama mchungaji akiamini ni bint mdogo ametulia hana makundi na huvaa kwa heshima saana. Akamuoa maisha yakaendelea.....
So katika kuchat akataka kujua if nimerudiana na mke wangu nikamwambia not na haiwezekani akantania pengine wife kanikimbia sababu sina show kali yaani nina moto mdogo na kwamba na yeye angenikimbia ka angenikubali kipindi kile.
Nikaona dharau hizi nikamwambia nnamoto ambao hata yeye anaulilia mpaka sasa na hata yeye isingekua kumheshimu brother an am not dealing na wake za watu ningemuonesha namna wenzake wakotayri kushare na wenzao kwa moto nnaowapa... mwisho wasiku akadai anahitaji uo moto na namna anahamu nifanye mchakato nimtumie nauli aje auone huo moto.... aiseeh nilipagawa na kuhamaki saaana kimoyo moyo ikabidi niishie hapo nilale usingizi wa mang'amng'am...
Aiseeh wanajamvi habari zenu

Sasa kama wake za wachungaji nao si waaminifu, tena wenye kushauri na kuombea watu sasa tutafanyaje???
Wazee wa kataa ndoa tutawashauri nini?
Eti kina mama, dada na mabinti mnataka nini semeni tujue namna ya kuwatuliza?

Hakika sitopoteza chochoteMtu
'MTU hupoteza kipande Cha mkate kwa kahaba lakini kwa MKE wa MTU hupoteza uhai wake wote'
Mungu akuongozeHakika sitopoteza chochote
Kwamba pastor hana hata sadaka ya manzi kutumia kwa nauli ndogo ndogoTuma kwanza nauli...
Hili ndo la msingi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuma kwanza nauli...
AminaMungu akuongoze
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Viongozi wa kidini nao ni binadamu kama sisi tu,
Labda huko hapelekewi moto anautamani moto je.
Ukiweza mpeleke moto, unaogopa acha kuna muhuni atapewa. Usimuhukumu kisa kataka kukupa mzigo.
Ila mama mchungaji nae anaomba atumiwe nauli..
Anakata stimu. [emoji23][emoji1787][emoji1787]
Tulia wewe🤣🤣🤣Hili ndo la msingi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na huruma yake iwe juu yangu kwakuniepusha na kikombe hiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yamejaa kibao Songea sahivi.Sijui niiwekaje ili nisieleweke vibaya.. Kuna makanisa flani hivi ya maturubai na mabanzi kila mtaa lazima ukutane nayo kama sio moja mawili, Nimeimagine tu nimepata taswira hiyo... Naonaga kama hawakogo serious sana,, hata sijui nawaza nini[emoji42][emoji42][emoji2356]
Kwakweli msamala wanajitahidi.. Yani mtu akiishi msamala Halafu asiende kanisani na makanisa yalovyojaa😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yamejaa kibao Songea sahivi.
Hasa Msamala, hadi Kero yaan.
[emoji23][emoji23][emoji23] mie siendi mbona, na wazazi/ndugu wao wanasali Roma.Kwakweli msamala wanajitahidi.. Yani mtu akiishi msamala Halafu asiende kanisani na makanisa yalovyojaa[emoji23][emoji23]
Wewe kupeana utamu mbona ndio fresh, hv ungekuwa unanyimwa ungefurahiIla wewe mzinzi saana