Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
- Thread starter
- #221
Kwahiyo mi ni muhuni wa kuokoa ndoa za wayuMpelekee moto tu huenda ukaokoa jahazi la ndoa yake.
Hapo ndani kwake kuna fukuto, na wewe unaweza kumtuliza na akalea watoto wake.
Hili ni moja ya sababu ya malaya na wahuni kuwepo. Wanaokoa ndoa za watu na kubalance pale palipopungua.
Mtanipinga ila haya hufanyika kwenye jamii kisirisiri.