Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mapadre tuko nao mtaani na wamezaa acha hizoShetani uwatumia sana mama wa chungaji kupitia roho za uzinzi kulivuruga kanisa.
Katoliki hawakuwa wajinga kutoruhusu mapadre kuoa,na siku wakiruhusu tu kanisa lazma lisambaratike kama makanisa ya waliooa.
Huwezi zozana na mkeo usiku kucha then asubuhi uingie kuhubiri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah unatembea mule muleSpika kuubwa, kelele nyiingi. Ukichungulia ndani, unakuta wapo sita tu.
Kwani akiwa mfupi mb.00 haiingi mkuu?Tatizo we mfupi ye anataka warefu
Shika ulichonacho bwana asemaSiku ingine mnatuamnia mke wa mtu sumu tutafumwa tutageuziwa sisi kibao na ma clip yatarushwa.
Siku ingine mnatuambia dawa yao kisu, tutafute kisu tutapata yeyote.
Leo mnasema tuwashawishi kwa kuwaambia tuna moto mkali, waje ndani tuwaonyeshe jinsi ya kuwapelekea moto.
Siku ingine mnasema tutafute wajane wenye majumba Mbezi hawana stress na hauhitaji hela.
Mara mtuambie kuna kaswende mjini hazisikii cha anti biotics wala cha culture sensitivity.
Tushike lipi tuache lipi ?
Ujana maji ya moto.
Muulize mama mchungajiKwani akiwa mfupi mb.00 haiingi mkuu?
Wote wamezaa?Mbona mapadre tuko nao mtaani na wamezaa acha hizo
Mama mchungaji nduye mwenye mb.00?Muulize mama mchungaji
Kwa kweli naona ni hivo
Ndo anataka warefu ka mimi na sio wafupiMama mchungaji nduye mwenye mb.00?
Asili ya malaya ni kuomba pesa hawezi achaMama mchungaji nilikuwa namuheshimu ila alipoomba nauli nimeona Revina wa primary.
Wa Sinagogi Ya MasanjaUsije ukawa Katibu wa Mchungaji
KwakweliRIP katibu hahaha
Yaani utume nauli ya daladala kutoka dar kwenda dar? kamba iziAiseeh wanajamvi habari zenu
Jana niliachwa hoi na kitu kilichonitokea yaan Imani imekua kitu cha kuchezewa na watu waliopewa dhamana.
Jana nilishinda mitaa ya Leaders Club nikipoteza mawazo na washkaji mpaka mida ya saa sita usiku nikarudi zangu kwetu huku Country side Ilala vijijini.
Wakati napanda kwa bed nacheki simu nakutana na msg kutoka kwa mama mchungaji inasema "mambo baba jayaron" ofcoz alitumia jina langu la ujanani coz ananifahamu since i was young boy mwanzoni mwa miaka yangu ya 20's au kushuka chini kidogo.
Hiyo text iliingia saa sita kasoro tano nikaona mama mchungaji bado yupo online ngoja nireply tukaanza kuchat sasa.
Nikirudi nyuma kidogo ya wakati tulipokua at one church kalikua ni kabinti kana mpenda saana Mungu na mimi kipindi icho nilikua naanza kujuajua videmu nikawa namfukuzia akawa ananichomolea kwakua kalikua bado yaani ka bikra... so nikajichanganya na mademu wengine kakanichukia ila baadae niliskia kalishikwa na mapepo baada ya kujichanganya kwenye mgegedo kakaombewa kika settle mi ndo nkazidi kukaogopa"
Kuhusu mchungaji, mume wake ni kijana tuliyekua naye wote kanisa though he is older than me kwa miaka notless than 7 may be... we call each other brothers na tunaheshimiana saana.
Brother after being broken na piss moja yenye shep hatari ya kipare (piss ya kipare ilidai bro amepooza saana na anahitaji mwanaume aliyechangamka akajamp na playerboy mmoja hapo church).
Mchungaji ikabidi ahamie kwa mama mchungaji akiamini ni bint mdogo ametulia hana makundi na huvaa kwa heshima saana. Akamuoa maisha yakaendelea.....
So katika kuchat akataka kujua if nimerudiana na mke wangu nikamwambia not na haiwezekani akantania pengine wife kanikimbia sababu sina show kali yaani nina moto mdogo na kwamba na yeye angenikimbia ka angenikubali kipindi kile.
Nikaona dharau hizi nikamwambia nnamoto ambao hata yeye anaulilia mpaka sasa na hata yeye isingekua kumheshimu brother an am not dealing na wake za watu ningemuonesha namna wenzake wakotayri kushare na wenzao kwa moto nnaowapa... mwisho wasiku akadai anahitaji uo moto na namna anahamu nifanye mchakato nimtumie nauli aje auone huo moto.... aiseeh nilipagawa na kuhamaki saaana kimoyo moyo ikabidi niishie hapo nilale usingizi wa mang'amng'am...
Sasa kama wake za wachungaji nao si waaminifu, tena wenye kushauri na kuombea watu sasa tutafanyaje???
Wazee wa kataa ndoa tutawashauri nini?
Eti kina mama, dada na mabinti mnataka nini semeni tujue namna ya kuwatuliza?
Hapana yupo nje ya dar kidogo, by then cha ajabu nn kwan hata hapa dar kwa dar mademu hawaombi nauli??Yaani utume nauli ya daladala kutoka dar kwenda dar? kamba izi