Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli lakin tusipooa tufanyeje??Kataa ndoa wanapata point nyingine.
Hapana sema mama sema utuokoe wenzakoNgoja ninyamaze
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka kifalaaa yaanWaumini wa feel free Church mna mapepo sana, ebu mwacheni mama Mchungaji
Wazuri au wahuni??Ice Cube alisema ukitaka madem wazuri, wafuate kanisani.
Wataelewa tu.
Hapana wachungaji wanatakiwa wawe kielelezo cha sameheh saba mara sabini so kuvunja ndoa ni mpaka mke atake mwenyewe kwa lazimaLabda huyo mama ni mama mchungaji wa kisasa, binti asiye na adabu kwenye ndoa yake. Mchungaji wa kisasa ukigundua mkeo anakuchiti piga chini, inaruhusiwa hiyo, mwanamke mzinzi huachwa na hakuna dhambi hapo wala haihitaji talaka mahakamani, piga chini awe huru kufanya umalaya wake hatubembelezi ndoa zenye kero za uzinzi
Brother simu yangu button ya screen shout haifanyi kazi yaani mama mchungaji anavitaja viungo vya uzazi kama wahuni wengine yaani na jinsi anavyotaka kukunwa mpaka nikashangaa daahaHii dunia ina mengi sana
Hongera mi hua na feli nshagombana na washkaji zangu wawili kwakuwagongea na kuwahamisha mademu zao kwanguMimi pia ni Yusufu mwingine nilishakataa Ke watatu wa Marafiki zangu nyakati tofauti tofauti.
There is no mutual exclusivity.Wazuri au wahuni??
Hata ukiwa na pesa kama huna mtu pembeni wakutumia pesa zako upone pesa hazitakua na maana....Ngoja uzeeke uumwe ukae kitandani uone kama kuna kiumbe atakuja kukuhudumia. Pona yako uwe na pesa ili uweze kuajiri nurse
Mwenyewe nimekulia koto basi videmu vyote vyakota nilipitia si unajua ukiwa hendisamu wanajileta wenyewe 😁😁Kota hata mm nimekaa hahah nimezaliwa kotaa yaani nakumbuka kuna mahali nilikuwa napelekwa moto hahaha yaani kota jamani kwanza sio pa kukaa na watoto wako wanaweza haribika kwa kweli
Nmekula Mke wa Askofu Mmoja ,alikuja kuniambia kaolewa na Mumewe ni Askofu .Aiseeh wanajamvi habari zenu
Jana niliachwa hoi na kitu kilichonitokea yaan Imani imekua kitu cha kuchezewa na watu waliopewa dhamana.
Jana nilishinda mitaa ya Leaders Club nikipoteza mawazo na washkaji mpaka mida ya saa sita usiku nikarudi zangu kwetu huku Country side Ilala vijijini.
Wakati napanda kwa bed nacheki simu nakutana na msg kutoka kwa mama mchungaji inasema "mambo baba jayaron" ofcoz alitumia jina langu la ujanani coz ananifahamu since i was young boy mwanzoni mwa miaka yangu ya 20's au kushuka chini kidogo.
Hiyo text iliingia saa sita kasoro tano nikaona mama mchungaji bado yupo online ngoja nireply tukaanza kuchat sasa.
Nikirudi nyuma kidogo ya wakati tulipokua at one church kalikua ni kabinti kana mpenda saana Mungu na mimi kipindi icho nilikua naanza kujuajua videmu nikawa namfukuzia akawa ananichomolea kwakua kalikua bado yaani ka bikra... so nikajichanganya na mademu wengine kakanichukia ila baadae niliskia kalishikwa na mapepo baada ya kujichanganya kwenye mgegedo kakaombewa kika settle mi ndo nkazidi kukaogopa"
Kuhusu mchungaji, mume wake ni kijana tuliyekua naye wote kanisa though he is older than me kwa miaka notless than 7 may be... we call each other brothers na tunaheshimiana saana.
Brother after being broken na piss moja yenye shep hatari ya kipare (piss ya kipare ilidai bro amepooza saana na anahitaji mwanaume aliyechangamka akajamp na playerboy mmoja hapo church).
Mchungaji ikabidi ahamie kwa mama mchungaji akiamini ni bint mdogo ametulia hana makundi na huvaa kwa heshima saana. Akamuoa maisha yakaendelea.....
So katika kuchat akataka kujua if nimerudiana na mke wangu nikamwambia not na haiwezekani akantania pengine wife kanikimbia sababu sina show kali yaani nina moto mdogo na kwamba na yeye angenikimbia ka angenikubali kipindi kile.
Nikaona dharau hizi nikamwambia nnamoto ambao hata yeye anaulilia mpaka sasa na hata yeye isingekua kumheshimu brother an am not dealing na wake za watu ningemuonesha namna wenzake wakotayri kushare na wenzao kwa moto nnaowapa... mwisho wasiku akadai anahitaji uo moto na namna anahamu nifanye mchakato nimtumie nauli aje auone huo moto.... aiseeh nilipagawa na kuhamaki saaana kimoyo moyo ikabidi niishie hapo nilale usingizi wa mang'amng'am...
Sasa kama wake za wachungaji nao si waaminifu, tena wenye kushauri na kuombea watu sasa tutafanyaje???
Wazee wa kataa ndoa tutawashauri nini?
Eti kina mama, dada na mabinti mnataka nini semeni tujue namna ya kuwatuliza?
Tatizo dharau nying ndo mana unagongewaRafiki zangu wamekula mademu zangu wengi,marafiki zangu wameshiriki kuwaauza wapenzi wangu wengi,nachokumbuka kuhusu mademu wa rafiki zangu nimewachomolea wengi kulinda heshima za marafiki zangu na mashemeji zangu mpaka leo wananikubali na kunishirikisha kila kitu kwenye mahusiano yao.Sababu wanajua mi ni mtu wa tofauti labda ningekuwa na mchizi kama Jay z halafu beyo ndio shem ningemkula maana she was a girl of my dream kibongo bongo kama ningekuwa na mazoea na jamaa ake mobeto ningeusamehee tu ushikaji
Hapana don't be proud with this ni mbaya broNmekula Mke wa Askofu Mmoja ,alikuja kuniambia kaolewa na Mumewe ni Askofu .
Nimekuja kula Mwanamama Mmoja ni Mchungaji wa makanisa haya ya Warokole.
Dunia ni tambara.
Usishiriki hiyo dhambi namuonea huruma baba mchungaji sababu asipokuja makini huyo mwanaume atakua anguko lakeHapana sema mama sema utuokoe wenzako
Nje ya mada.Mwananke akishaniambiaga tu hizo za nauli najuaga tu ni fake feelings na Mimi hisia zote kwake zinakata yani
Aisee pole sana huyo ni malayaBrother simu yangu button ya screen shout haifanyi kazi yaani mama mchungaji anavitaja viungo vya uzazi kama wahuni wengine yaani na jinsi anavyotaka kukunwa mpaka nikashangaa daaha
Shukuru ata una watoto mkuu... Yaani ulichonacho ningumu sanaa kujua thamani yake.Thanks so naelewa uchungu wake, coz nikimwamini saana mke wangu na kumuweka kwenye dini nikiamini sito chapiwa ila sababu ya kufulia tuu nikasalitiwa mbali na watoto tulio zaa