Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
- Thread starter
- #181
Kweli kabisa yaanUsishiriki hiyo dhambi namuonea huruma baba mchungaji sababu asipokuja makini huyo mwanaume atakua anguko lake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa yaanUsishiriki hiyo dhambi namuonea huruma baba mchungaji sababu asipokuja makini huyo mwanaume atakua anguko lake
AminaaaaNanyi mkiwa katika kusali nanyi salini hivi.
Baba yetu uliye mbinguni,............................
..............,..........................................................................
Na utuepushe na yule muovu na usitutie majaribuni. .............................
Achana na huyo Mama Mchungaji
Yap mkuu ndo nimelitolea jina humo Mzee... One of my best tv showNje ya mada.
Hivi mkuu ulisha wahi angalia tamthilia ya OZ?
Huyo mwamba alitisha sana mle.
Shua ila tangu nimetoka kwenye ndoa ndo nimeona jinsi wanawake hawaheshimu ndoa zaoShukuru ata una watoto mkuu... Yaani ulichonacho ningumu sanaa kujua thamani yake.
Hivi kwa akili yako unahisi mchungaji ni nani, Yesu ama? Yesu mwenyewe alikuwa na demu (Maria Madgalena), sasa iweje wewe unashangaa kwa mchungaji kutaka kuliwa ama kula? Wale ni binadamu tu kama wewe, hawana issue yeyote na usikute wewe ndiyo uko kamilifu shinda wao kutokana na matendo yao wayafanyao nyuma ya pazia huku wakijificha kwa mgongo wa dini. Never trust a human being anayetumia dini as kigezo cha kuwa mwema.Aiseeh wanajamvi habari zenu
Jana niliachwa hoi na kitu kilichonitokea yaan Imani imekua kitu cha kuchezewa na watu waliopewa dhamana.
Jana nilishinda mitaa ya Leaders Club nikipoteza mawazo na washkaji mpaka mida ya saa sita usiku nikarudi zangu kwetu huku Country side Ilala vijijini.
Wakati napanda kwa bed nacheki simu nakutana na msg kutoka kwa mama mchungaji inasema "mambo baba jayaron" ofcoz alitumia jina langu la ujanani coz ananifahamu since i was young boy mwanzoni mwa miaka yangu ya 20's au kushuka chini kidogo.
Hiyo text iliingia saa sita kasoro tano nikaona mama mchungaji bado yupo online ngoja nireply tukaanza kuchat sasa.
Nikirudi nyuma kidogo ya wakati tulipokua at one church kalikua ni kabinti kana mpenda saana Mungu na mimi kipindi icho nilikua naanza kujuajua videmu nikawa namfukuzia akawa ananichomolea kwakua kalikua bado yaani ka bikra... so nikajichanganya na mademu wengine kakanichukia ila baadae niliskia kalishikwa na mapepo baada ya kujichanganya kwenye mgegedo kakaombewa kika settle mi ndo nkazidi kukaogopa"
Kuhusu mchungaji, mume wake ni kijana tuliyekua naye wote kanisa though he is older than me kwa miaka notless than 7 may be... we call each other brothers na tunaheshimiana saana.
Brother after being broken na piss moja yenye shep hatari ya kipare (piss ya kipare ilidai bro amepooza saana na anahitaji mwanaume aliyechangamka akajamp na playerboy mmoja hapo church).
Mchungaji ikabidi ahamie kwa mama mchungaji akiamini ni bint mdogo ametulia hana makundi na huvaa kwa heshima saana. Akamuoa maisha yakaendelea.....
So katika kuchat akataka kujua if nimerudiana na mke wangu nikamwambia not na haiwezekani akantania pengine wife kanikimbia sababu sina show kali yaani nina moto mdogo na kwamba na yeye angenikimbia ka angenikubali kipindi kile.
Nikaona dharau hizi nikamwambia nnamoto ambao hata yeye anaulilia mpaka sasa na hata yeye isingekua kumheshimu brother an am not dealing na wake za watu ningemuonesha namna wenzake wakotayri kushare na wenzao kwa moto nnaowapa... mwisho wasiku akadai anahitaji uo moto na namna anahamu nifanye mchakato nimtumie nauli aje auone huo moto.... aiseeh nilipagawa na kuhamaki saaana kimoyo moyo ikabidi niishie hapo nilale usingizi wa mang'amng'am...
Sasa kama wake za wachungaji nao si waaminifu, tena wenye kushauri na kuombea watu sasa tutafanyaje???
Wazee wa kataa ndoa tutawashauri nini?
Eti kina mama, dada na mabinti mnataka nini semeni tujue namna ya kuwatuliza?
Kooooote sawa ila kusema yesu alikua na demu si sawaHivi kwa akili yako unahisi mchungaji ni nani, Yesu ama? Yesu mwenyewe alikuwa na demu (Maria Madgalena), sasa iweje wewe unashangaa kwa mchungaji kutaka kuliwa ama kula? Wale ni binadamu tu kama wewe, hawana issue yeyote na usikute wewe ndiyo uko kamilifu shinda wao kutokana na matendo yao wayafanyao nyuma ya pazia huku wakijificha kwa mgongo wa dini. Never trust a human being anayetumia dini as kigezo cha kuwa mwema.
Aiseeh wanajamvi habari zenu
Jana niliachwa hoi na kitu kilichonitokea yaan Imani imekua kitu cha kuchezewa na watu waliopewa dhamana.
Jana nilishinda mitaa ya Leaders Club nikipoteza mawazo na washkaji mpaka mida ya saa sita usiku nikarudi zangu kwetu huku Country side Ilala vijijini.
Wakati napanda kwa bed nacheki simu nakutana na msg kutoka kwa mama mchungaji inasema "mambo baba jayaron" ofcoz alitumia jina langu la ujanani coz ananifahamu since i was young boy mwanzoni mwa miaka yangu ya 20's au kushuka chini kidogo.
Hiyo text iliingia saa sita kasoro tano nikaona mama mchungaji bado yupo online ngoja nireply tukaanza kuchat sasa.
Nikirudi nyuma kidogo ya wakati tulipokua at one church kalikua ni kabinti kana mpenda saana Mungu na mimi kipindi icho nilikua naanza kujuajua videmu nikawa namfukuzia akawa ananichomolea kwakua kalikua bado yaani ka bikra... so nikajichanganya na mademu wengine kakanichukia ila baadae niliskia kalishikwa na mapepo baada ya kujichanganya kwenye mgegedo kakaombewa kika settle mi ndo nkazidi kukaogopa"
Kuhusu mchungaji, mume wake ni kijana tuliyekua naye wote kanisa though he is older than me kwa miaka notless than 7 may be... we call each other brothers na tunaheshimiana saana.
Brother after being broken na piss moja yenye shep hatari ya kipare (piss ya kipare ilidai bro amepooza saana na anahitaji mwanaume aliyechangamka akajamp na playerboy mmoja hapo church).
Mchungaji ikabidi ahamie kwa mama mchungaji akiamini ni bint mdogo ametulia hana makundi na huvaa kwa heshima saana. Akamuoa maisha yakaendelea.....
So katika kuchat akataka kujua if nimerudiana na mke wangu nikamwambia not na haiwezekani akantania pengine wife kanikimbia sababu sina show kali yaani nina moto mdogo na kwamba na yeye angenikimbia ka angenikubali kipindi kile.
Nikaona dharau hizi nikamwambia nnamoto ambao hata yeye anaulilia mpaka sasa na hata yeye isingekua kumheshimu brother an am not dealing na wake za watu ningemuonesha namna wenzake wakotayri kushare na wenzao kwa moto nnaowapa... mwisho wasiku akadai anahitaji uo moto na namna anahamu nifanye mchakato nimtumie nauli aje auone huo moto.... aiseeh nilipagawa na kuhamaki saaana kimoyo moyo ikabidi niishie hapo nilale usingizi wa mang'amng'am...
Sasa kama wake za wachungaji nao si waaminifu, tena wenye kushauri na kuombea watu sasa tutafanyaje???
Wazee wa kataa ndoa tutawashauri nini?
Eti kina mama, dada na mabinti mnataka nini semeni tujue namna ya kuwatuliza?
Tulia wewe usiniuzeeHe! Mtumie nauli bwana we! Ili ule nyapu ya mchungajiCode:
Unataka vita na mm?? Ntakutoa humu fastaAchana na wake za watu Boya wewe ... Usije kuta unachat na mchungaji mwenyewe hapo ...
Mbona mkipata mnachotaka mnahangaika na wenye pesa sasaMwanamke anahitaji mapenzi zaidi kuliko hata hayo maombezi anayopewa.
U-handsome, kuwa na pesa nyingi, haimfanyi mwanamke asi-cheat maana hajaja kwako kutizama tv.
Tulia mkuu amini dinia ako tuuBila kapicha mkuu hatuamini
Mkuu kula mzigo acha kulialia. Kama umemshindwa toa connection. Watu hatutaki mbambamba..Aiseeh wanajamvi habari zenu
Jana niliachwa hoi na kitu kilichonitokea yaan Imani imekua kitu cha kuchezewa na watu waliopewa dhamana.
Jana nilishinda mitaa ya Leaders Club nikipoteza mawazo na washkaji mpaka mida ya saa sita usiku nikarudi zangu kwetu huku Country side Ilala vijijini.
Wakati napanda kwa bed nacheki simu nakutana na msg kutoka kwa mama mchungaji inasema "mambo baba jayaron" ofcoz alitumia jina langu la ujanani coz ananifahamu since i was young boy mwanzoni mwa miaka yangu ya 20's au kushuka chini kidogo.
Hiyo text iliingia saa sita kasoro tano nikaona mama mchungaji bado yupo online ngoja nireply tukaanza kuchat sasa.
Nikirudi nyuma kidogo ya wakati tulipokua at one church kalikua ni kabinti kana mpenda saana Mungu na mimi kipindi icho nilikua naanza kujuajua videmu nikawa namfukuzia akawa ananichomolea kwakua kalikua bado yaani ka bikra... so nikajichanganya na mademu wengine kakanichukia ila baadae niliskia kalishikwa na mapepo baada ya kujichanganya kwenye mgegedo kakaombewa kika settle mi ndo nkazidi kukaogopa"
Kuhusu mchungaji, mume wake ni kijana tuliyekua naye wote kanisa though he is older than me kwa miaka notless than 7 may be... we call each other brothers na tunaheshimiana saana.
Brother after being broken na piss moja yenye shep hatari ya kipare (piss ya kipare ilidai bro amepooza saana na anahitaji mwanaume aliyechangamka akajamp na playerboy mmoja hapo church).
Mchungaji ikabidi ahamie kwa mama mchungaji akiamini ni bint mdogo ametulia hana makundi na huvaa kwa heshima saana. Akamuoa maisha yakaendelea.....
So katika kuchat akataka kujua if nimerudiana na mke wangu nikamwambia not na haiwezekani akantania pengine wife kanikimbia sababu sina show kali yaani nina moto mdogo na kwamba na yeye angenikimbia ka angenikubali kipindi kile.
Nikaona dharau hizi nikamwambia nnamoto ambao hata yeye anaulilia mpaka sasa na hata yeye isingekua kumheshimu brother an am not dealing na wake za watu ningemuonesha namna wenzake wakotayri kushare na wenzao kwa moto nnaowapa... mwisho wasiku akadai anahitaji uo moto na namna anahamu nifanye mchakato nimtumie nauli aje auone huo moto.... aiseeh nilipagawa na kuhamaki saaana kimoyo moyo ikabidi niishie hapo nilale usingizi wa mang'amng'am...
Sasa kama wake za wachungaji nao si waaminifu, tena wenye kushauri na kuombea watu sasa tutafanyaje???
Wazee wa kataa ndoa tutawashauri nini?
Eti kina mama, dada na mabinti mnataka nini semeni tujue namna ya kuwatuliza?
Tatizo we mfupi ye anataka warefuMkuu kula mzigo acha kulialia. Kama umemshindwa toa connection. Watu hatutaki mbambamba..
Chai rangui hiyoUmtumie nauli mama Mchungaji? Kwamba hawezi kuja mpaka umtumie nauli!!?! Mama Mchungaji kweli!??
Kwani ulikuwa hujuwi kuwa Yesu alikuwa na demu?Kooooote sawa ila kusema yesu alikua na demu si sawa
Nani atakuwa anakubadilisha diapers?Usinitishie 🧐🧐nkiugua ntakua seliani pale