Sasa ni rasmi ndoa haina thamani tena hata mama mchungaji?

Usije ukawa Katibu wa Mchungaji
 
Sijui niiwekaje ili nisieleweke vibaya.. Kuna makanisa flani hivi ya maturubai na mabanzi kila mtaa lazima ukutane nayo kama sio moja mawili, Nimeimagine tu nimepata taswira hiyo... Naonaga kama hawakogo serious sana,, hata sijui nawaza nini😴😴🤦‍♀️
 
Spika kuubwa, kelele nyiingi. Ukichungulia ndani, unakuta wapo sita tu.
 
Tunataka motooo wewe huelewi, kwa kweli ndoaaa ni motoo kuwashwa, hata kama umegombana na mke wako baada ya ugomvi mpe motoo wa kueleweka hasira zote zinaishaaaa. Naomba uelewe Mtumishi ya mkini hiyo Mchungaji yuko rohoni sana anasahau kwamba kuna mtu anahitaji motoo
 
Alaf naomba uelewe hata wao pia ji wanadamu wana hisia kama wewe, so kila mtu na tabia zake ila Mungu wa Neema ndio anatusaidia pale tunapomuomba so usishangae kuona hata viongozi wa dini wanakula ndogo na wao wanahisia,. So usitumie wadhifa wa walionao ku'judge kwamba ni wakamilifu hapanaaa,. Alafu nyie walokole mnaangalia dhambi ni kuzini hapana kunakuwaga na vitabia vya umbea uongo uchonganishi so usishangae kuona na hivyo mama mchungaji anatamani moto wako,. Hebu tuma nauli kwanza tuache maneno mengi
 
Mwananke akishaniambiaga tu hizo za nauli najuaga tu ni fake feelings na Mimi hisia zote kwake zinakata yani
Jaman siku hizi tunakopaga tutarudishiwa tukifika maana mtu anaweza ghairi nikakosa uroda bure, nauli inatakiwa na uroda unatakiwa lazima kujiongeza,. Tukope tutafidiwa tukifika [emoji28]
 
Kabisaaa tena mnabisha unapata nyege usiku unanyimwa unaamua kujihudumia mwenyewe alaf asbh unaingia kwenye ibada jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…