min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mnamtisha kijana ,mchunga wala hawezi fanya hivyo ni mtu wa kusamehe, kijana apige mzigo.Usisahau kilainishi kinaweza kuwa msaada wako mkubwa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnamtisha kijana ,mchunga wala hawezi fanya hivyo ni mtu wa kusamehe, kijana apige mzigo.Usisahau kilainishi kinaweza kuwa msaada wako mkubwa..
Hata kama ni ww mke wako ainamishe? Apelekewe moto afu nje wanapiga kama wanaua 🙆acheni nitukaneMchungaji tubu umetukna fala wewe😀😀
Kumbe unatafunaga majichobya watu[emoji28][emoji28]Brother kumbe unataka kumla mke wangu! Kwa taarifa yako ulikua unachat na Mimi! Sasa jichanganye ntakutafuna jicho la huzuni faller wewe
Hakuna cha majaribu apo mchunga anazembea show[emoji12]Mama Mchungaji ni binadamu...
Tena watu wanaomtumikia Mungu majaribu yao ni makubwa...
Lengo la adui shetani ni kuharibu Imani za watu na kanisa.
Niombee radhi kaka [emoji23][emoji23]Dada Dona nawe kumbe unapenda kupelekewa moto sana?[emoji1787]
Huenda mama mch alikuwa anastasia jamaa tu!
Wengi wanawakeSpika kuubwa, kelele nyiingi. Ukichungulia ndani, unakuta wapo sita tu.
😂😂😂Usiwe serious sana bnKumbe unatafunaga majichobya watu[emoji28][emoji28]
Bora ufike kwanza yani ndo uanze kuleta habari za ela sio eti tuma nauli ndo nije... Nishawachinjia mbali sana wa stail hizoJaman siku hizi tunakopaga tutarudishiwa tukifika maana mtu anaweza ghairi nikakosa uroda bure, nauli inatakiwa na uroda unatakiwa lazima kujiongeza,. Tukope tutafidiwa tukifika [emoji28]
Alaf watu wanatafsiri vibaya huko makanisani ndio wanahitajika wahuni na wadhambi wote ili wabadilishwe so asitesekeMakanisani na miskitini kumejaa wahuni wanaomtafuta Mungu so usiwaze saana
Usiriazi na genye wap na wap miss jf no 2?Sijui niiwekaje ili nisieleweke vibaya.. Kuna makanisa flani hivi ya maturubai na mabanzi kila mtaa lazima ukutane nayo kama sio moja mawili, Nimeimagine tu nimepata taswira hiyo... Naonaga kama hawakogo serious sana,, hata sijui nawaza nini[emoji42][emoji42][emoji2356]
Kabisaa mchungaji anakula macho ya watuMchungaji tubu umetukna fala wewe[emoji3][emoji3]
Acha stori za kutunga hata hazielewekiAiseeh wanajamvi habari zenu
Jana niliachwa hoi na kitu kilichonitokea yaan Imani imekua kitu cha kuchezewa na watu waliopewa dhamana.
Jana nilishinda mitaa ya leaders club nikipoteza mawazo na washkaji mpaka mida ya saa sita usiku nikarudi zangu kwetu huku Country side ilala vijijini...
Wakati napanda kwa bed nacheki simu nakutana na msg kutoka kwa mama mchungaji inasema "mambo baba jayaron" ofcoz alitumia jina langu la ujanani coz ananifahamu since i was young boy mwanzoni mwa miaka yangu ya 20's au kushuka chini kidogo...
Iyo text iliingia saa sita kasoro tano nikaona mama mchungaji bado yupo online ngoja nireply tukaanza kuchat sasa...
Nikirudi nyuma kidogo ya wakati tulipokua at one church kalikua ni ka binti kana mpenda saana Mungu na mimi kipindi icho nilikua naanza kujuajua videmu nikawa namfukuzia akawa ananichomolea kwakua kalikua bado yaani ka bikra... so nikajichanganya na mademu wengine kakanichukia ila baadae niliskia kalishikwa na mapepo baada ya kujichanganya kwenye mgegedo kakaombewa kika settle mi ndo nkazidi kukaogopa"
Kuhusu mchungaji, mume wake ni kijana tuliyekua naye wote kanisa though he is older than me kwa miaka notless than 7 may be... we call each other brothers na tunaheshimiana saana.
Brother after being broken na piss moja yenye shep hatari ya kipare (piss ya kipare ilidai bro amepooza saana na anahitaji mwanaume aliyechangamka akajamp na playerboy mmoja hapo church)
Mchungaji ikabidi ahamie kwa mama mchungaji akiamini ni bint mdogo ametulia hana makundi na huvaa kwa heshima saana. Akamuoa maisha yakaendelea.....
So katika kuchat akataka kujua if nimerudiana na mke wang nikamwambia not na haiwezekani akantania pengine wife kanikimbia sababu sina show kali yaan nina moto mdogo na kwamba na yeye angenikimbia ka angenikubali kipindi kile...
Nikaona dharau hizi nikamwambia nnamoto ambao hata yeye anaulilia mpaka sasa na hata yeye isingekua kumheshimu brother an am not dealing na wake za watu ningemuonesha namna wenzake wakotayri kushare na wenzao kwa moto nnaowapa... mwisho wasiku akadai anahitaji uo moto na namna anahamu nifanye mchakato nimtumie nauli aje auone huo moto.... aiseeh nilipagawa na kuhamaki saaana kimoyo moyo ikabidi niishie hapo nilale usingizi wa mang'amng'am...
Sasa kama wake za wachungaji nao si waaminifu, tena wenye kushauri na kuombea watu sasa tutafanyaje???
Wazee wa kataa ndoa tutawashauri nn??
Eti kina mama, dada na mabinti mnataka nn semeni tujue namna ya kuwatuliza??
Asante sana😆😆😆
Hakuna ubaya, ubaya ni pale moto wa mume ukikata utaposhindwa kuvumilia na kutaka mioto mingine.Niombee radhi kaka [emoji23][emoji23]
Kuna ubaya nikapenda kupelekewa moto na mume wangu...
Walau umenielewa ankoSpika kuubwa, kelele nyiingi. Ukichungulia ndani, unakuta wapo sita tu.
Tena nje wanajua kuwasha moto kesho yake anaenda bila kutumiwa nauli, chezea moto weweHata kama ni ww mke wako ainamishe? Apelekewe moto afu nje wanapiga kama wanaua [emoji134]acheni nitukane
😀😅😅🙌Hakuna ubaya, ubaya ni pale moto wa mume ukikata utaposhindwa kuvumilia na kutaka mioto mingine.