Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Kwakweli naona ๐๐๐Tz ndio hii hii anko. Yaliyopo mitaani hayatofautiani sana ๐ ๐ ๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli naona ๐๐๐Tz ndio hii hii anko. Yaliyopo mitaani hayatofautiani sana ๐ ๐ ๐
Umepelekea moto sana wake za watu hahahNshawahi fanya huo ujinga nshatubu lkn hz story ni kama zinanikumbusha huo upuuzi! Na mm n muumini wa karma aisee siku nikioa watamuua mke wangu[emoji3166]acheni tu niwe kataa ndoa
Anaongea tuu mimi nina ushahidi kwa kweli,Story za madrasa mpaka kulawiti watoto wa kiume hujawahi kusikia???
Najuta sana japo sio kiivo ila maisha ya kota Kuna mda ni ufalaUmepelekea moto sana wake za watu hahah
Na ukimpiga mama Mchungaji anakuja kanisani kanuna had waumini wanaelewa kuna jamboYa nyege madogo yanavumilika,kakutukania mama yako mbele za watoto.
Kumpiga huwezi we ni mtumishi wa Mungu unaogopa aibu
Watumishi wa Mungu waliooa Wana majaribu sanaNa ukimpiga mama Mchungaji anakuja kanisani kanuna had waumini wanaelewa kuna jambo
Ngoja ninyamazeAiseeh wanajamvi habari zenu
Jana niliachwa hoi na kitu kilichonitokea yaan Imani imekua kitu cha kuchezewa na watu waliopewa dhamana.
Jana nilishinda mitaa ya Leaders Club nikipoteza mawazo na washkaji mpaka mida ya saa sita usiku nikarudi zangu kwetu huku Country side Ilala vijijini.
Wakati napanda kwa bed nacheki simu nakutana na msg kutoka kwa mama mchungaji inasema "mambo baba jayaron" ofcoz alitumia jina langu la ujanani coz ananifahamu since i was young boy mwanzoni mwa miaka yangu ya 20's au kushuka chini kidogo.
Hiyo text iliingia saa sita kasoro tano nikaona mama mchungaji bado yupo online ngoja nireply tukaanza kuchat sasa.
Nikirudi nyuma kidogo ya wakati tulipokua at one church kalikua ni kabinti kana mpenda saana Mungu na mimi kipindi icho nilikua naanza kujuajua videmu nikawa namfukuzia akawa ananichomolea kwakua kalikua bado yaani ka bikra... so nikajichanganya na mademu wengine kakanichukia ila baadae niliskia kalishikwa na mapepo baada ya kujichanganya kwenye mgegedo kakaombewa kika settle mi ndo nkazidi kukaogopa"
Kuhusu mchungaji, mume wake ni kijana tuliyekua naye wote kanisa though he is older than me kwa miaka notless than 7 may be... we call each other brothers na tunaheshimiana saana.
Brother after being broken na piss moja yenye shep hatari ya kipare (piss ya kipare ilidai bro amepooza saana na anahitaji mwanaume aliyechangamka akajamp na playerboy mmoja hapo church).
Mchungaji ikabidi ahamie kwa mama mchungaji akiamini ni bint mdogo ametulia hana makundi na huvaa kwa heshima saana. Akamuoa maisha yakaendelea.....
So katika kuchat akataka kujua if nimerudiana na mke wangu nikamwambia not na haiwezekani akantania pengine wife kanikimbia sababu sina show kali yaani nina moto mdogo na kwamba na yeye angenikimbia ka angenikubali kipindi kile.
Nikaona dharau hizi nikamwambia nnamoto ambao hata yeye anaulilia mpaka sasa na hata yeye isingekua kumheshimu brother an am not dealing na wake za watu ningemuonesha namna wenzake wakotayri kushare na wenzao kwa moto nnaowapa... mwisho wasiku akadai anahitaji uo moto na namna anahamu nifanye mchakato nimtumie nauli aje auone huo moto.... aiseeh nilipagawa na kuhamaki saaana kimoyo moyo ikabidi niishie hapo nilale usingizi wa mang'amng'am...
Sasa kama wake za wachungaji nao si waaminifu, tena wenye kushauri na kuombea watu sasa tutafanyaje???
Wazee wa kataa ndoa tutawashauri nini?
Eti kina mama, dada na mabinti mnataka nini semeni tujue namna ya kuwatuliza?
Kota hata mm nimekaa hahah nimezaliwa kotaa yaani nakumbuka kuna mahali nilikuwa napelekwa moto hahaha yaani kota jamani kwanza sio pa kukaa na watoto wako wanaweza haribika kwa kweliNajuta sana japo sio kiivo ila maisha ya kota Kuna mda ni ufala
Labda wanawake wako unazoa zoa wanaojiuzaBrother wanawake sio wakuwaamini hasa wenye kujifanya wanadini au wanamisismamo
Mimi pia ni Yusufu mwingine nilishakataa Ke watatu wa Marafiki zangu nyakati tofauti tofauti.Kilichomsaidia yusuph ni kutoka nduki angezubaa kidogo tu, damu zikajaa kwenye kichwa cha chini, leo tungekuwa tunaongea mengne.....
nimeona notification kama umeni pm. Kipengele ni hii simu haifungui upande wa meseji zaidi ya notification yaaniyale maswala ungekuwa bado unayamwaga hapa unadhani hata hili tungelipitia mkuu
Feel free to do anything secretly regardless of public unlawful actions [emoji1]Feel free Church
Waumini wa feel free Church mna mapepo sana, ebu mwacheni mama MchungajiAiseeh wanajamvi habari zenu
Jana niliachwa hoi na kitu kilichonitokea yaan Imani imekua kitu cha kuchezewa na watu waliopewa dhamana.
Jana nilishinda mitaa ya Leaders Club nikipoteza mawazo na washkaji mpaka mida ya saa sita usiku nikarudi zangu kwetu huku Country side Ilala vijijini.
Wakati napanda kwa bed nacheki simu nakutana na msg kutoka kwa mama mchungaji inasema "mambo baba jayaron" ofcoz alitumia jina langu la ujanani coz ananifahamu since i was young boy mwanzoni mwa miaka yangu ya 20's au kushuka chini kidogo.
Hiyo text iliingia saa sita kasoro tano nikaona mama mchungaji bado yupo online ngoja nireply tukaanza kuchat sasa.
Nikirudi nyuma kidogo ya wakati tulipokua at one church kalikua ni kabinti kana mpenda saana Mungu na mimi kipindi icho nilikua naanza kujuajua videmu nikawa namfukuzia akawa ananichomolea kwakua kalikua bado yaani ka bikra... so nikajichanganya na mademu wengine kakanichukia ila baadae niliskia kalishikwa na mapepo baada ya kujichanganya kwenye mgegedo kakaombewa kika settle mi ndo nkazidi kukaogopa"
Kuhusu mchungaji, mume wake ni kijana tuliyekua naye wote kanisa though he is older than me kwa miaka notless than 7 may be... we call each other brothers na tunaheshimiana saana.
Brother after being broken na piss moja yenye shep hatari ya kipare (piss ya kipare ilidai bro amepooza saana na anahitaji mwanaume aliyechangamka akajamp na playerboy mmoja hapo church).
Mchungaji ikabidi ahamie kwa mama mchungaji akiamini ni bint mdogo ametulia hana makundi na huvaa kwa heshima saana. Akamuoa maisha yakaendelea.....
So katika kuchat akataka kujua if nimerudiana na mke wangu nikamwambia not na haiwezekani akantania pengine wife kanikimbia sababu sina show kali yaani nina moto mdogo na kwamba na yeye angenikimbia ka angenikubali kipindi kile.
Nikaona dharau hizi nikamwambia nnamoto ambao hata yeye anaulilia mpaka sasa na hata yeye isingekua kumheshimu brother an am not dealing na wake za watu ningemuonesha namna wenzake wakotayri kushare na wenzao kwa moto nnaowapa... mwisho wasiku akadai anahitaji uo moto na namna anahamu nifanye mchakato nimtumie nauli aje auone huo moto.... aiseeh nilipagawa na kuhamaki saaana kimoyo moyo ikabidi niishie hapo nilale usingizi wa mang'amng'am...
Sasa kama wake za wachungaji nao si waaminifu, tena wenye kushauri na kuombea watu sasa tutafanyaje???
Wazee wa kataa ndoa tutawashauri nini?
Eti kina mama, dada na mabinti mnataka nini semeni tujue namna ya kuwatuliza?
wewe ni kaongo, so wanapeana wenyewe lwa wenyewe?Kuna wasabato wao unapewa mpka uwe msabato.
Kaongo au liongo mkuu๐๐W
wewe ni kaongo, so wanapeana wenyewe lwa wenyewe?
Kaongo, wewe bado kakijana kadogo๐คฃ๐คฃKaongo au liongo mkuu๐๐
Kweli hamna ujanja ukiwa nayo karibu labda uwe hanidhiKilichomsaidia yusuph ni kutoka nduki angezubaa kidogo tu, damu zikajaa kwenye kichwa cha chini, leo tungekuwa tunaongea mengne.....