Sasa ni rasmi ndoa haina thamani tena hata mama mchungaji?

Huo ndio ukweli binafsi siku tukigombana tukasolve hio show ntakupa ni kama naua mwizi ukitoka hapo unanisalimia kwakupiga goti... ila all jn all mchungaji amekaa kiroho mnooo sijiu nimwambie achangamke??
 
Nauli si atumie sadaka zangu ....🤣🤣🤣 ila kwa viongozi na wake zao wangekua wavumilivu kidogo
 
Madhara ya hilo jambo lenu ni mabaya mnoo.. pia huwezi kuyaona sasa hivi.. yatakuja kutokea badae sanaa.. yaani ukifanya kuna mkosi/nuksi unajiandalia mwenyewe.. usifanye.. nasisitiza usifanye... ikiwezekana acha mawasiliano nae(chatting) Utanikumbuka na utanishukuru
 
Kikweli Mungu anisaidie sitaki kumtafuta na sitak chatting maana mimi pia ni baba huruma 😔😔😔
 
Sasa doctrine nyingi za dini zetu zinafundisha kwamba unabadilishwa unakua mpyaaaaaaa
 
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Masanja Mkandamizaji...
 
Part 2 loading...
 
Ndo ikose thamani kisa mwanamke mmoja asie na maadili?
Tushakubaliana kwa sasa wanawake wote si waaminifu kwenye ndoa isipokua watumishi sasa hata wao wakifanana na wahuni ndio maana yunasema haina thamani
 
Tuma nauli ndio mpango muhimu kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…