Tokamo na uhamiage Kwa wale iliyokuwa ukiwatukanaga,wenyewe hawanagashidaa na yeyote😜Bila hata ya kutumia hadubini sasa ndio wakati wa kuchambua pumba na mchele.
Chama chetu kilianza na madhumuni mazuri kabisa ya kuwa chama cha kuwatumikia watanzania ambao ni wakulima na wafanyakazi.
Ndio ilikuwa dhima kuu kuleta maendeleo kwa manufaa ya kila mtanzania.
Hakikuwa mali ya wajanja wachache huko nyuma ambao wao ni kushibisha matumbo yao.
Sasa tutafakari na kufanya tathimini juu ya CcM ya leo. Ambayo ni mali ya familia ya wajanja wachache.
Wadau naombeni mthibitishe hili 🤔.Sijawahi kutukana mtu
Ni Mali ya wenye Chama Chao🤸Wakulima na wafanyakazi tulibahatika kukomboa chama chetu lakini kwa sababu sisi sio wajanja tumewarudishia.
Pombe Magufuli kumpa umakamu yule Mama asiyemfahamu lilikuwa ni kosa kubwa la kizezeta.
Tunapaswa kukuza wakulima na wafanyakazi wajanja.
Subiri walete mrejesho tutajua wanalo au hawana 🤔Wana lolote?
Mzee makamba amesema wazi kwa kumuuliza MwenyekitiBila hata ya kutumia hadubini sasa ndio wakati wa kuchambua pumba na mchele.
Chama chetu kilianza na madhumuni mazuri kabisa ya kuwa chama cha kuwatumikia watanzania ambao ni wakulima na wafanyakazi.
Ndio ilikuwa dhima kuu kuleta maendeleo kwa manufaa ya kila mtanzania.
Hakikuwa mali ya wajanja wachache huko nyuma ambao wao ni kushibisha matumbo yao.
Sasa tutafakari na kufanya tathimini juu ya CcM ya leo. Ambayo ni mali ya familia ya wajanja wachache.
Chama cha Mazezeta, mnachezewa akili ile mbayaBila hata ya kutumia hadubini sasa ndio wakati wa kuchambua pumba na mchele.