Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila hata ya kutumia hadubini sasa ndio wakati wa kuchambua pumba na mchele.
Chama chetu kilianza na madhumuni mazuri kabisa ya kuwa chama cha kuwatumikia watanzania ambao ni wakulima na wafanyakazi.
Ndio ilikuwa dhima kuu kuleta maendeleo kwa manufaa ya kila mtanzania.
Hakikuwa mali ya wajanja wachache huko nyuma ambao wao ni kushibisha matumbo yao.
Sasa tutafakari na kufanya tathimini juu ya CcM ya leo. Ambayo ni mali ya familia ya wajanja wachache.
Unaanzisha mada iliyo juu ya uwezo wako kabisa kuijadili, huu ndio utapeli uliojaa ndani ya CCM siku hizi.Calm down young boy
Sukuma gang mapema sana mshaanza kutesekaBila hata ya kutumia hadubini sasa ndio wakati wa kuchambua pumba na mchele.
Chama chetu kilianza na madhumuni mazuri kabisa ya kuwa chama cha kuwatumikia watanzania ambao ni wakulima na wafanyakazi.
Ndio ilikuwa dhima kuu kuleta maendeleo kwa manufaa ya kila mtanzania.
Hakikuwa mali ya wajanja wachache huko nyuma ambao wao ni kushibisha matumbo yao.
Sasa tutafakari na kufanya tathimini juu ya CcM ya leo. Ambayo ni mali ya familia ya wajanja wachache.
Unataka kuaminisha watu ilishawahi kutokea Ccm iliyokuwa ina parade watu mitaaani na kuwapiga risasi?Ccm ya wakulima na wafanyakazi ilikufa rasmi baada ya azimio la Zanzibar. Sasa hivi ccm imetolewa mikononi mwa washenzi wa sukuma gang walioendesha siasa za kidhalimu chini ya kiongozi muovu aliyeko motoni, na imerejea mikononi mwa majizi ya msoga line wenye siasa za ustaarabu wa kinafiki. Ni bora kwa mbali kwa ccm ya haya majizi ya msoga line, kuliko yale majizi na mauaji ya sukuma gang.
Pendekezo au shinikizo la chama lilikuwepo wakati wa uchaguzi wa kwanza, Pombe akiwa hana nguvu ya kukataa lolote.Wanaomtetea Pombe wanasema yule makamu lilikuwa pendekezo la chama chake.
Bila hata ya kutumia hadubini sasa ndio wakati wa kuchambua pumba na mchele.
Chama chetu kilianza na madhumuni mazuri kabisa ya kuwa chama cha kuwatumikia watanzania ambao ni wakulima na wafanyakazi.
Ndio ilikuwa dhima kuu kuleta maendeleo kwa manufaa ya kila mtanzania.
Hakikuwa mali ya wajanja wachache huko nyuma ambao wao ni kushibisha matumbo yao.
Sasa tutafakari na kufanya tathimini juu ya CcM ya leo. Ambayo ni mali ya familia ya wajanja wachache.
Nimekwisha malizana nawe, kwa maana nshajuwa kina chako. Siwezi kucheza na kichaa bila kuonekana mbele za watu kuwa nami ni kichaa.Wewe ni wa kujadili ishu na watu? Mweupe kabisa mkichwa.
Unataka kuaminisha watu ilishawahi kutokea Ccm iliyokuwa ina parade watu mitaaani na kuwapiga risasi?
Majizi ya msoga yakifanya ufisadi ni sawa tu kwako?
Mpigania Chama mwenzako😁😁😁
View attachment 2172101
Wenzio wana plan A mpaka F ilihali ww una plan A tu. Yanayotokea ukute Watu waliwaza miaka 6 mbele.
Back up ya dola kwa miaka mingi pia ni plan.Acha hizo, hawana plan Wala Nini. Back up ya dola inawasaidia. Refer 2019 na 2020 chaguzi zilivyoendeshwa.
Pendekezo au shinikizo la chama lilikuwepo wakati wa uchaguzi wa kwanza, Pombe akiwa hana nguvu ya kukataa lolote.
Muhula wa pili Pombe Magufuli alikuwa on top of the world. Vingunge vyote vya chama alishavizima, Kinana, Makamba, Membe, Nape, aliwatilisha adabu. Mwinyi alishapoteza umakini wa akili, Mkapa alishakufa.
Kikwete keshapigwa pini. Taarifa zinasema Pombe alimwita IGP aje kumbeba Salma aliyekuja Ikulu kufoka na kulazimisha makontena yake yapite bila kodi, IGP akampigia simu Kikwete, ambae alijibu kama anataka kumkamata mwache amkamate. IGP akampikia Mkapa ambae ndie aliyezima sakata.
Kama Pombe Magufuli alikuwa na balls za kusimama wima mbele ya Kikwete na mkewe ni nani kwenye chama angemlazimisha kumchukua huyu Mama Samia kuwa makamu safari ya pili ????
Wakulima na Wafanyakazi tulipewa chama, lakini tulivyo mazezeta tukawarudishia, tukampa umakamu Mama tusiyemjua. Tunataka wakulima na wafanyakazi wajanja.
Back up ya dola kwa miaka mingi pia ni plan.