Sasa ni wakati wanaCCM tujitafakari na kuchukua hatua. Je, chama chetu ni mali ya wakulima na wafanyakazi? Au ni mali ya wajanja wachache?

Ccm imekua chama cha kakikundi fulani kutokea ukanda wa pwani..sio tena chama cha wakulima na wafanyakazi.

Halafu utasikia wanawasema cdm..kweli nyani haoni kundule.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wakulima na wafanyakazi tulibahatika kukomboa chama chetu lakini kwa sababu sisi sio wajanja tumewarudishia.

Pombe Magufuli kumpa umakamu yule Mama asiyemfahamu lilikuwa ni kosa kubwa la kizezeta.

Tunapaswa kukuza wakulima na wafanyakazi wajanja.
Hata kama angekuwa makamu yeye mwenyewe Magufuli chama kingerudi tu kwa Wajanja
 
Naona unalia baada ya kuwa nje ya "system"ya ulaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…