Sasa ni wakati wetu Zanzibar kuitawala Tanganyika

Sasa ni wakati wetu Zanzibar kuitawala Tanganyika

Mna rais
Mna ZRA
Mna baraza la mawaziri na wawakilishi
Mna kila kitu cha kwenu, mmeshindwa kujenga unavyotaka kwa pesa zenu unataka ujenge kwa pesa ya bara?

Shilingi ngapi tunachukua toka zenji? Tunawaingilia kwenye maamuzi yenu? Usimponze mama, mna nafasi ya kufanya kila kitu bila kuingiliwa na bara, fanyeni
Ilipata kusemwa "rais wa zenji" ni sawa na Mkuu wa Mkoa!!!
 
Huyu mke mdogo zanzibr sasa naona amezoea ndoa huyu. Dawa yake kumlambisha bakora.jua kuwa Mama si muarabu.asili yake ni bongo land.
 
Back
Top Bottom