Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,162
- 9,192
Tanzania haitawaliwi inaongozwa naona kuna watu wana fikra za kiarabu. Tawala ni neno la kiarabu hatuna tawala sisi
Zanzibar historically has been a divided place, ethnically, socially and racially. Hii ni ya legacy iliyogoma kuondoka ya wakoloni.
Marehemu Abdulahaman Babu aliporejea na kushiriki uchaguzi wa Mwaka 1995, alishangazwa sana kuona mambo bado ni yale yale ya miaka ya 50 na 60, wakati waingereza wanacheza karata zao juu ya nani anastahili Kupewa madaraka ya uongozi.
Ni wakati muafaka sasa wa kuwekeza kwenye mambo ya kiuchumi ili watu waanze kusahau siasa na kujenga nchi ambayo wote wataifurahia