Sasa ni wakati wetu Zanzibar kuitawala Tanganyika

Tangu Tanganyika ilipoungana na Zanzibar mwaka 1964 tumekuwa tunatawaliwa na Watanganyika na kupangiwa nani awe Rais wa Zanzibar kwa kupitia vikao vya CCM Dodoma, hata huyo Mzee Mwinyi hakuwa mzanzibar mwenzetu ila ni mlowezi toka kisawawe pwani huko Tanganyika.

Kwa kudra za Mwenyezi Mungu subaana huwataala sasa ametupatia Rais wa Muungano Mama Yetu kipenzi Samia S. Hassan na ndio imekuwa kwa mara ya kwanza na sisi wa Zanzibar tunaitawala Tanganyika.

Kwa mapendekezo na maoni tuu aachana na mambo ya dodoma na kuja kuiendeleza Unguja yetu kwa kujenga ikulu kubwa kama ya Dodoma, Chuo Kikuu kikubwa kuliko hata Udom, hospital ya Rufaa kubwa tuu kuliko hata Muhimbili, chanzo kikubwa cha umeme huku kwetu kuliko hata Mwl Nyerere Rufiji kuondokana na utegemezi wa umeme toka bara Kiwanja cha Ndege kikubwa tuu kama JNIA, barabara na miundombinu mingi mizuri, kuwavutia wawekezaji zaidi kwa upande wetu huku ili kukuza uchumi na kutengeneza ajira za uhakika kwa vijana wetu huku visiwani.

Hutalaumiwa kamwe na atakayekuuliza tutamjibu kwa hoja kwa nini hawakuhoji wakati mwendazake akifanya hayo huko bara especially "Chato"

ZANZIBAR HOYEEE ! Na kazi iendelee na Ihamie Zanzibar kwa maendeleo ya wazanzibar!!!!!
Kijiji cha mwendazake peke yake kule chato ni kikubwa kuliko Zanzibar.
 
Tanzania haitawaliwi inaongozwa naona kuna watu wana fikra za kiarabu. Tawala ni neno la kiarabu hatuna tawala sisi
Mkuu achana na hawa walalie bofulo na urojo, kubishana nao ni kupoteza muda wako jua hawa kwao wanaamka saa nne asubuhi wakati wenzao tayari saa 12 tuko mashambani au maofisini tukiwajibika.
 
Kijiji cha mwendazake peke yake kule chato ni kikubwa kuliko Zanzibar.
Mbunge wa zamani wa S'wanga alisema hata ukipiga filimbi au ngoma utawakusanya wote, mambo mengine basi tyuu...
 
Hujambo jamaa yangu! wavivu wa kusoma haiwahusu,nyie ni wazee wa kukimbilia conclusion bila ku analyse mambo.
Nimesoma yote Mkuu! Ngoja nikuulize, kwahiyo wewe unaunga kwamba sasa Tunatawaliwa na wazanzibar? Kwamba A.H. Mwinyi hakua chaguo la wazanzibar tuliwabambikia tu?
 
Zanzibar ni Wake zetu sisi Watanganyika. Tuliwaoa rasmi 26/04/1964 mchana kweupe, kwa Ndoa takatifu mbele ya halaiki ya Watanganyika na Wazanzibari.

Kwa Bahati mbaya au nzuri Washenga na waliofungisha Ndoa hii hawapo na hawatakuwepo tena. Walishafanya kazi yao.

Kwahiyo haya malalamiko ni maneno tu ya kawaida ya mwanamke ndani ya Ndoa yake, hayavunji ndoa na talaka hatutoi asilani.

Wazanzibari kaeni kwa kutulia tu.
Ndoa ya mashoga?
 
Nimesoma yote Mkuu! Ngoja nikuulize, kwahiyo wewe unaunga kwamba sasa Tunatawaliwa na wazanzibar? Kwamba A.H. Mwinyi hakua chaguo la wazanzibar tuliwabambikia tu?
Ali Hassan Mwinyi ,mkubwa Na mwanawe hawajawahi kuchaguliwa Na Wazanzibari.
 
Tangu Tanganyika ilipoungana na Zanzibar mwaka 1964 tumekuwa tunatawaliwa na Watanganyika na kupangiwa nani awe Rais wa Zanzibar kwa kupitia vikao vya CCM Dodoma, hata huyo Mzee Mwinyi hakuwa mzanzibar mwenzetu ila ni mlowezi toka kisawawe pwani huko Tanganyika.

Kwa kudra za Mwenyezi Mungu subaana huwataala sasa ametupatia Rais wa Muungano Mama Yetu kipenzi Samia S. Hassan na ndio imekuwa kwa mara ya kwanza na sisi wa Zanzibar tunaitawala Tanganyika.

Kwa mapendekezo na maoni tuu aachana na mambo ya dodoma na kuja kuiendeleza Unguja yetu kwa kujenga ikulu kubwa kama ya Dodoma, Chuo Kikuu kikubwa kuliko hata Udom, hospital ya Rufaa kubwa tuu kuliko hata Muhimbili, chanzo kikubwa cha umeme huku kwetu kuliko hata Mwl Nyerere Rufiji kuondokana na utegemezi wa umeme toka bara Kiwanja cha Ndege kikubwa tuu kama JNIA, barabara na miundombinu mingi mizuri, kuwavutia wawekezaji zaidi kwa upande wetu huku ili kukuza uchumi na kutengeneza ajira za uhakika kwa vijana wetu huku visiwani.

Hutalaumiwa kamwe na atakayekuuliza tutamjibu kwa hoja kwa nini hawakuhoji wakati mwendazake akifanya hayo huko bara especially "Chato"

ZANZIBAR HOYEEE ! Na kazi iendelee na Ihamie Zanzibar kwa maendeleo ya wazanzibar!!!!!
Raisi Samia Suluhu Hassan yupo madarakani kikatiba na si kwa sababu ni mzanzibari!
 
Acha mzaha wewe hivyo vitu atajenga wapi zanzibar maana zanzibar ndogo haitoshi. Acha mama ashughulike na tanganyika maana ndio tanzania. Kwanza wazenj karibu wote mumehamia tanganyika.
 
Tangu Tanganyika ilipoungana na Zanzibar mwaka 1964 tumekuwa tunatawaliwa na Watanganyika na kupangiwa nani awe Rais wa Zanzibar kwa kupitia vikao vya CCM Dodoma, hata huyo Mzee Mwinyi hakuwa mzanzibar mwenzetu ila ni mlowezi toka kisawawe pwani huko Tanganyika.

Kwa kudra za Mwenyezi Mungu subaana huwataala sasa ametupatia Rais wa Muungano Mama Yetu kipenzi Samia S. Hassan na ndio imekuwa kwa mara ya kwanza na sisi wa Zanzibar tunaitawala Tanganyika.

Kwa mapendekezo na maoni tuu aachana na mambo ya dodoma na kuja kuiendeleza Unguja yetu kwa kujenga ikulu kubwa kama ya Dodoma, Chuo Kikuu kikubwa kuliko hata Udom, hospital ya Rufaa kubwa tuu kuliko hata Muhimbili, chanzo kikubwa cha umeme huku kwetu kuliko hata Mwl Nyerere Rufiji kuondokana na utegemezi wa umeme toka bara Kiwanja cha Ndege kikubwa tuu kama JNIA, barabara na miundombinu mingi mizuri, kuwavutia wawekezaji zaidi kwa upande wetu huku ili kukuza uchumi na kutengeneza ajira za uhakika kwa vijana wetu huku visiwani.

Hutalaumiwa kamwe na atakayekuuliza tutamjibu kwa hoja kwa nini hawakuhoji wakati mwendazake akifanya hayo huko bara especially "Chato"

ZANZIBAR HOYEEE ! Na kazi iendelee na Ihamie Zanzibar kwa maendeleo ya wazanzibar!!!!!
Hivi kiongozi mara hii umesha sahau kwamba Zanzibar ni nchi kamili yenye Rais na serikali yake?
Kwa nini utoe pendekezo kwa nchi nyingine (Tanganyika) kuijengea Zanzibar hayo uliyo orodhesha?
Na kama mapendekezo yako yakikubaliwa kwa mujibu wa maoni yako huoni kwamba Tanganyika itakuwa sawa na muwekezaji kwa Zanzibar, na wewe ndie utakae fanyishwa kazi (mtumwa) na faida zote kwenda Tanganyika?
 
Hivyo mnavyoongea kimdebwedo mtamtawala nani
 
Mna rais
Mna ZRA
Mna baraza la mawaziri na wawakilishi
Mna kila kitu cha kwenu, mmeshindwa kujenga unavyotaka kwa pesa zenu unataka ujenge kwa pesa ya bara?

Shilingi ngapi tunachukua toka zenji? Tunawaingilia kwenye maamuzi yenu? Usimponze mama, mna nafasi ya kufanya kila kitu bila kuingiliwa na bara, fanyeni
Alafu Zanzibar yenyewe idadi yao ni milioni moja na Laki sits tu
 
Tanzania haitawaliwi inaongozwa naona kuna watu wana fikra za kiarabu. Tawala ni neno la kiarabu hatuna tawala sisi
Usijisahaulishe neno "rais" limetoka katika kiarabu likimaanisha "mtawala!!" ni hivyo tu Mkuu
 
Back
Top Bottom