PreGE2025 Sasa nimeamini CHADEMA wapo serious sana na sera ya "No reforms No election". Watanzania tuwaunge mkono

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wahenga walisema "kuuliza si ujinga"
Kinachowapa ujasiri na jeuri ya kusonga mbele Chedema na msimamo wao wa No Reform No Election ni kitu gani hasa?
 
Sasa watakua wamejikoroga, kwa sababu hatutawapigia kura wala kampeni.

Labda wapewe uongozi na ccm
 
Gentleman,
lakini wana Dar es salaamu wamepuuza kabisa jambo hilo la kitapeli,

unadhani ni kwanini wanajitokeza kwa wingi kiasi hiki kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura hali ya kua wote wanavyo vitambulisho vya NIDA pia?
Tumejitokeza ili tukawanyongelee kwenye box la kura, ili muundelee kuiba na kutengeneza kura fake maana siku za mwizi ni arobaini.
 
pamoja sana no reform no election
 
Tumejitokeza ili tukawanyongelee kwenye box la kura, ili muundelee kuiba na kutengeneza kura fake maana siku za mwizi ni arobaini.
Dawa ya ccm kutoshiriki ,No reform No election
 
Wameenda kumwona warioba na mtei mwasisi wa CHAMA
Wameenda kutoa msimamo wao kwa msajiri wa vya vyama vya siasa.
Wameenda zanzibar
Wameenda ubalozi wa Marekani
Sugu amenda USA Kutafuta ufadhili
Wameenda kukutana na gwiji wa siasa za kenya Laila ondinga leo ,
Leo viongozi wa mkoa wa mara wameenda kwa kanisa la katoriki, kuelekea "No reforms No election"
 
Upinzani wakiacha utoto, kusalitiana nk wanampiga chini CCM!!👿 mwaka huu
 
Mungu awape moyo mkuu
 
Aya sasa yamekuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…