naunga mkono hoja....hawa vijana wanakuja huku na elements za ki-f.b f.b wana tuharibia jukwaa letu!!!!
ivi wewe teacher steven unajua maana ya teacher?? kwa maneno haya unastahili kujiita hilo jina??
Acheni uoga vijana,,jeshi ni kawaida tu inabidi muende kuwa na uzalendo na nchi yenu frm AG4222 naongea hapa