Sasa nimeamini JKT hakuna na Chuo ni September/October

Sasa nimeamini JKT hakuna na Chuo ni September/October

Watawala wenye akili fupi huwa na mawazo mafupi.

JKT ni propaganda tu kama ilivyokuwa kwa shule za kata na maboresho kwa walimu.
 
Hapa siyo chit chat or Fb ,kwahili bandiko lako umewasaidia nini vijana wenzako?
naunga mkono hoja....hawa vijana wanakuja huku na elements za ki-f.b f.b wana tuharibia jukwaa letu!!!!
ivi wewe teacher steven unajua maana ya teacher?? kwa maneno haya unastahili kujiita hilo jina??
Acheni uoga vijana,,jeshi ni kawaida tu inabidi muende kuwa na uzalendo na nchi yenu frm AG4222 naongea hapa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom