Sasa nimeelewa kwanini Tundu Lissu alimteua Mzungu bwana Robert Amsterdam kuwa mshauri wa kisheria wa CHADEMA

Sasa nimeelewa kwanini Tundu Lissu alimteua Mzungu bwana Robert Amsterdam kuwa mshauri wa kisheria wa CHADEMA

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Wanasheria wengi wa chadema na upinzani wanachangamoto ya kushindwa kutafsiri katiba ya Nchi.

Imagine mwanasheria mzoefu hajui kuwa kwa Tanzania huwezi ukafanya mikusanyiko yyte bila kibali cha Polisi, hajui kuwa hiyo ni Sheria ya mikusanyiko (assembling act, ) ambayo imeainishwa kwenye katiba ya Nchi.

Ingawa sijajua lissu alimteua beberu kuwa mshauri kwa kichama kwa kulipa fadhira kwasababu wanawatunzia familia au kujipendekeza tu ili waendelee kuwa vibara.

Kuna shida sana ya kuzitafsir Sheria kwa hawa wanasheria wa upinzani kuanzia TLS

-if7g9d-1.jpg
 
Nassoro Katuga alishindwa kutofautisha kati ya video na picha akiwa mahakamani.....
Achana mambo ya ndani ya Mahakama .. kitendo cha madeleka kusema Polisi hawana mamlaka ya kutoa kibali cha mikutano ni leakage kubwa sana kwenye taaluma ya law....HAJUI KITU
 
Sahzi nitakuwa naweka na USHAHIDI ili kujilinda nisije nikaonekana muongo muongo hasa kwa hawa wajumbe wa kwenye Uzi wa kula tunda kimasihara 🤣
 
Kuna hoja gani upumbavu Lissu amewafundisha sheria kuanzia bungeni akiwa na kaja kuwafundisha sheria mahakamani
Ila we jamaa bwana tofautisha kati ya embedded learning na training tatizo hamjui kitu wakuu
 
Back
Top Bottom