Sasa nimeelewa kwanini Tundu Lissu alimteua Mzungu bwana Robert Amsterdam kuwa mshauri wa kisheria wa CHADEMA

Sasa nimeelewa kwanini Tundu Lissu alimteua Mzungu bwana Robert Amsterdam kuwa mshauri wa kisheria wa CHADEMA

Bwana Matrix19 njoo ujibu hoja kabla sijatimuliwa jukwani
images - 2026-06-29T065213.720.jpeg
Huyu mwanamama mwingereza Joan Wicken alikua mwandishi wa hotuba za Nyerere miaka ya 1960 , Nyerere angeweza kuteua mmatumbi kama wewe ila akaamua kumchukua huyu kutoka na uwezo fulani aliouona kwake .

Hivyo hivyo nikijibu swali lako ni kwamba tambua Robert Amsterdam ni mwanasheria nguli wa kimataifa mwenye ubobevu katika sheria za kimataifa CHADEMA inapmbana na majambazi wa CCM walio ndani na nje ya nchi hivyo sioni ubaya akichukuliwa mtu mbobevu.

Kwa kukuongezea tu Robert Amsterdam pia husimamia mambo ya kisheria ya Robert Kyagulanyi "Bobby Wine"

Hata Samuya mwaka 2021 akiwa anapokea kijiti alimuomba waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair kuwa mshauri wake wa mashauri ya kimataifa ili kuirejesha nchi kutoka mahusiano mabovu kimataifa aliyoyaacha mtangulizi wake ila Samuya huyu huyu nae alirudi njia ile ile ya mtangulizi wake miaka 4 baadae.
images - 2026-06-29T065213.720.jpeg
 
View attachment 3618332Huyu mwanamama mwingereza Joan Wicken alikua mwandishi wa hotuba za Nyerere miaka ya 1960 , Nyerere angeweza kuteua mmatumbi kama wewe ila akaamua kumchukua huyu.

Hivyo hivyo nikijibu swali lako ni kwamba tambua Robert Amsterdam ni mwanasheria nguli wa kimataifa mwenye ubobevu katika sheria za kimataifa CHADEMA inapmbana na majambazi wa CCM walio ndani na nje ya nchi hivyo sioni ubaya akichukuliwa mtu mbobevu.

Kwa kukuongezea tu Robert Amsterdam pia husimamia mambo ya kisheria ya Robert Kyagulanyi "Bobby Wine"

Hata Samuya mwaka 2021 akiwa anapokea kijiti alimuomba waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair kuwa mshauri wake wa mashauri ya kimataifa ili kuirejesha nchi kutoka mahusiano mabovu kimataifa aliyoyaacha mtangulizi wake ila Samuya huyu huyu nae alirudi njia ile ile ya mtangulizi wake miaka 4 baadae.View attachment 3618332
Huo mwaka 1960 unajua nchi ilikuwa chini ya nani?
Mkuu soma Historia ya nchi
 
Wewe ndio usome historia nenda kasome huyo mwanamama amefanya kazi kama mwandishi wa hotuba za Nyerere hadi lini.

Punguza kukurupuka!
Hujui vitu vingi sana, nadhani hata hujui Nchi ilipata uhuru mwaka gani
 
View attachment 3618332Huyu mwanamama mwingereza Joan Wicken alikua mwandishi wa hotuba za Nyerere miaka ya 1960 , Nyerere angeweza kuteua mmatumbi kama wewe ila akaamua kumchukua huyu kutoka na uwezo fulani aliouona kwake .

Hivyo hivyo nikijibu swali lako ni kwamba tambua Robert Amsterdam ni mwanasheria nguli wa kimataifa mwenye ubobevu katika sheria za kimataifa CHADEMA inapmbana na majambazi wa CCM walio ndani na nje ya nchi hivyo sioni ubaya akichukuliwa mtu mbobevu.

Kwa kukuongezea tu Robert Amsterdam pia husimamia mambo ya kisheria ya Robert Kyagulanyi "Bobby Wine"

Hata Samuya mwaka 2021 akiwa anapokea kijiti alimuomba waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair kuwa mshauri wake wa mashauri ya kimataifa ili kuirejesha nchi kutoka mahusiano mabovu kimataifa aliyoyaacha mtangulizi wake ila Samuya huyu huyu nae alirudi njia ile ile ya mtangulizi wake miaka 4 baadae.View attachment 3618332
Hii post ndo inakufanya uonekane hujui kitu kuhusu nchi yetu
 
Kwahiyo wewe unajua sheria kuliko Madeleka si ndio?
 
Hii post ndo inakufanya uonekane hujui kitu kuhusu nchi yetu
Sikuja kujibu nionekane najua vitu bali nimejibu post ilichosema na nilicholinganisha.

Nakuuliza na wewe kama suala ni kupata uhuru ilikuaje Samuya akamteua Tony Blaie kuwa mshauri wake wa mashauri ya kigeni hasa baada ya janga la UVIKO -19 mwaka 2021?

 
Wanasheria wengi wa chadema na upinzani wanachangamoto ya kushindwa kutafsiri katiba ya Nchi.

Imagine mwanasheria mzoefu hajui kuwa kwa Tanzania huwezi ukafanya mikusanyiko yyte bila kibali cha Polisi, hajui kuwa hiyo ni Sheria ya mikusanyiko (assembling act, ) ambayo imeainishwa kwenye katiba ya Nchi.

Ingawa sijajua lissu alimteua beberu kuwa mshauri kwa kichama kwa kulipa fadhira kwasababu wanawatunzia familia au kujipendekeza tu ili waendelee kuwa vibara.

Kuna shida sana ya kuzitafsir Sheria kwa hawa wanasheria wa upinzani kuanzia TLS

Wewe chawa Illicit Desire hebu tembea katika Google search engine ama Chat GPT upate kutambua tofauti kati ya Ruhusa/Permission na Taarifa/Notification kwa Mkusanyiko Tanzania. Nimepitia humo kutambua umahiri na umakini wa hoja za mawakili wa CDM na TLS kama ifuatavyo

Kimsingi: Katiba inasema Taarifa, lakini Polisi mara nyingi wanatekeleza kama ni kutoa Ruhusa kupitia vibali, lakini kile Katiba na Sheria inachosema ni: NOTIFICATION yaani Taarifa tu

Katiba ya JMT, Ibara ya 20(1) inahakikisha: Kila mtu ana uhuru wa kukusanyika kwa amani, kushirikiana na watu wengine, na kutoa maoni hadharani

Police Force and Auxiliary Services Act, Sura 322, Kifungu cha 43*
kina maelezo kuhusu Taarifa, sio Maombi. Mratibu anapaswa kumjulisha. Kamanda wa Polisi wa eneo hilo kwa maandishi angalau saa 48 kabla.

Taarifa hii inahusu mahali, muda, kusudi la mkutano.
Polisi inawapasa wapange usalama. Sheria inasema wazi: notification is not an application. Taarifa sio maombi ya ruhusa.

Baada ya kutoa taarifa unaweza kufanya mkusanyiko kama ulivyotoa taarifa wala huhitaji permit ama kibali chochote kutoka Polisi

Vikundi vya haki za binadamu vinasema: You only need to notify the police concerned and not to request for a permit

Public Order Act na Police Force Act, Kifungu cha 44
Polisi wana mamlaka ya kuzuia mkusanyiko ikiwa wanaona unaweza kuvunja amani au kuhatarisha usalama wa umma.

Polisi mara nyingi wanasema "tumezuia" au "hatujakuruhusu" badala ya kusema "tumeipokea taarifa yako". Mahakama mwaka 2001 ilibatilisha sharti la "permit" kwa sababu lilikiuka Ibara ya 20, lakini Kifungu 41 bado kinampa polisi mamlaka ya kusitisha mkusanyiko.

Kisheria taarifa ya saa 48 sio ruhusa kwa kuwa mikusanyiko ni haki, na wala sio fadhila. Polisi wanatumia mamlaka ya usalama kuzuia mikusanyiko halali hivyo inatumia mwanya kufanya kazi kupitia mfumo wa vibali ama ruhusa.

Wewe kilaza, ni muhimu
kutambua ya kuwa Oli upate tafsiri nzuri juu ya uhalali wa mkusanyiko, wasiliana na mawakili kutoka LHRC/TLHRC kwa miongozo ya hivi karibuni, kwa sababu utekelezaji unabadilika.
 
Back
Top Bottom