Sasa nimeelewa kwanini Tundu Lissu alimteua Mzungu bwana Robert Amsterdam kuwa mshauri wa kisheria wa CHADEMA

Sasa nimeelewa kwanini Tundu Lissu alimteua Mzungu bwana Robert Amsterdam kuwa mshauri wa kisheria wa CHADEMA

Kuna hoja hapo! Pamoja na kwamba wengine hatujui Sheria inafikirisha hapo.
Sema hatujui kama hata CCM wanaomba kibali cha Polisi kufanya mikusanyiko.
 
Kuna hoja hapo! Pamoja na kwamba wengine hatujui Sheria inafikirisha hapo.
Sema hatujui kama hata CCM wanaomba kibali cha Polisi kufanya mikusanyiko.
Wanaomba kibali pia hakuna mkusanyiko wwte unaofanyika bila kibali cha Polisi, kwa kijjn huwezi kufanya mkusanyiko bila kibali cha uongozi wa kijj na kibali kikishatolewa inatakiwa kibandikwe watu wakione, sema tu watu huwa hawafatilii mambo wao ni kulalamika tu.
 
Mkuu, maelezo matupu bila vifungu vya sheria, kwenye uzi wa 'kisheria' ni sawa na story za vijiweni kusogeza muda tu. Weka nyama mkuu
 
Achana mambo ya ndani ya Mahakama .. kitendo cha madeleka kusema Polisi hawana mamlaka ya kutoa kibali cha mikutano ni leakage kubwa sana kwenye taaluma ya law....HAJUI KITU
Wewe ndiyo hujui kitu ile mikusanyiko misikitini makanisani misibani kwenye mwendo kasi sokoni vituo vya mabasi viwanja vya michezo huwa unatoa kibali wewe?
 
Wanasheria wengi wa chadema na upinzani wanachangamoto ya kushindwa kutafsiri katiba ya Nchi.

Imagine mwanasheria mzoefu hajui kuwa kwa Tanzania huwezi ukafanya mikusanyiko yyte bila kibali cha Polisi, hajui kuwa hiyo ni Sheria ya mikusanyiko (assembling act, ) ambayo imeainishwa kwenye katiba ya Nchi.

Ingawa sijajua lissu alimteua beberu kuwa mshauri kwa kichama kwa kulipa fadhira kwasababu wanawatunzia familia au kujipendekeza tu ili waendelee kuwa vibara.

Kuna shida sana ya kuzitafsir Sheria kwa hawa wanasheria wa upinzani kuanzia TLS

Unasaka uteuzi na umeamua kujitoa fahamu zote ili upewe uteuzi kwa kivuli cha kuongea vitu kinyume na katiba na sheria inavyoelekeza kuwa ni kupewa Taarifa siyo wewe kutoa kibali kwani katiba haikupi mamlaka hayo
 
Ila we jamaa bwana tofautisha kati ya embedded learning na training tatizo hamjui kitu wakuu
Wewe ndiyo hujui kitu lakini kwa kuwa Akili zako zimekutuma ulazimishe fikra zako binafsi ziwe sheria haramu wakati sheria halali ipo na ipo wazi hairuhusu hayo unayotengeneza wewe
 
Nenda hapo kwa balozi wa nyumba 10 atakuelezea hii Sheria ya mikusanyiko ipoje na inatekelezwaje
Pale mtaa wa congo, ilala mazense sokoni kote kwenye misiba hata mwendo kasi na matukio ya ghafra hukusanya watu na kote huko wewe ndiyo unawapa kibali? Sheria katiba inakuruhusu hivyo?
 
Kuna hoja hapo! Pamoja na kwamba wengine hatujui Sheria inafikirisha hapo.
Sema hatujui kama hata CCM wanaomba kibali cha Polisi kufanya mikusanyiko.
Hawaombi kibali kwani wanajua hakuna sheria inayosema inayotaka kuwepo kibali bali sheria inasema toa taarifa ya kuomba ulinzi tu
 
Umekosa sehemu ya kuandika ukaamua uje uandike hapa
ingawa unasaka uteuzi kwa nguvu kubwa lakini ujue ccm nao wataangalia unaandika nini na endapo utakomaa kupingana na katiba na sheria huwezi pata uteuzi kamwe kwani unapingana na haki za wanyonge
 
Wanasheria wengi wa chadema na upinzani wanachangamoto ya kushindwa kutafsiri katiba ya Nchi.

Imagine mwanasheria mzoefu hajui kuwa kwa Tanzania huwezi ukafanya mikusanyiko yyte bila kibali cha Polisi, hajui kuwa hiyo ni Sheria ya mikusanyiko (assembling act, ) ambayo imeainishwa kwenye katiba ya Nchi.

Ingawa sijajua lissu alimteua beberu kuwa mshauri kwa kichama kwa kulipa fadhira kwasababu wanawatunzia familia au kujipendekeza tu ili waendelee kuwa vibara.

Kuna shida sana ya kuzitafsir Sheria kwa hawa wanasheria wa upinzani kuanzia TLS

Mbona unabwabwaja kama layman kwa jambo ulilo na utaalamu nalo?

Ni kifungu namba ngapi katika katiba kinachoainisha kipengele hicho?

Weka nukuu ya kifungu hicho tuone, ili tuthamanishe maelezo yako vs wakili Madeleka.
 
View attachment 3618332Huyu mwanamama mwingereza Joan Wicken alikua mwandishi wa hotuba za Nyerere miaka ya 1960 , Nyerere angeweza kuteua mmatumbi kama wewe ila akaamua kumchukua huyu kutoka na uwezo fulani aliouona kwake .

Hivyo hivyo nikijibu swali lako ni kwamba tambua Robert Amsterdam ni mwanasheria nguli wa kimataifa mwenye ubobevu katika sheria za kimataifa CHADEMA inapmbana na majambazi wa CCM walio ndani na nje ya nchi hivyo sioni ubaya akichukuliwa mtu mbobevu.

Kwa kukuongezea tu Robert Amsterdam pia husimamia mambo ya kisheria ya Robert Kyagulanyi "Bobby Wine"

Hata Samuya mwaka 2021 akiwa anapokea kijiti alimuomba waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair kuwa mshauri wake wa mashauri ya kimataifa ili kuirejesha nchi kutoka mahusiano mabovu kimataifa aliyoyaacha mtangulizi wake ila Samuya huyu huyu nae alirudi njia ile ile ya mtangulizi wake miaka 4 baadae.View attachment 3618332
Huyo Mama CCM walimdhulumu Mali zake.
 
Taja hicho kifungo tukachukue pesa kwa Madeleka.
 
Back
Top Bottom