instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Sasa hao si wanandoa?Mkusanyiko wa watu zaidi ya wawili unahitaji kibali cha polisi
zaidi ya wawiliSasa hao si wanandoa?
Achana mambo ya ndani ya Mahakama .. kitendo cha madeleka kusema Polisi hawana mamlaka ya kutoa kibali cha mikutano ni leakage kubwa sana kwenye taaluma ya law....HAJUI KITUNassoro Katuga alishindwa kutofautisha kati ya video na picha akiwa mahakamani.....
Mkuu yani Sheria za nchi zinataka kila mikusanyiko uwe na kibali hii ni kuanzia mamlaka za serikali za mitaa mpaka Taifazaidi ya wawili
Kwani madeleka mwanachama wa Chadema?Achana mambo ya ndani ya Mahakama .. kitendo cha madeleka kusema Polisi hawana mamlaka ya kutoa kibali cha mikutano ni leakage kubwa sana kwenye taaluma ya law....HAJUI KITU
Nimesema chadema na upinzani kwa ujumla soma vzuri post mkuuKwani madeleka mwanachama wa Chadema?
Nimesema chadema na upinzani soma vzuriKwani madeleka mwanachama wa Chadema?
Unaiwaza sana chadema fanya kazi acha porojo mitandaoniNimesema chadema na upinzani soma vzuri
Jibu hoja kama hujui kitu kaa kimya ndugu yanguUnaiwaza sana chadema fanya kazi acha porojo mitandaoni
Tusaidie hiyo sheria sisi mbumbumbu wa sheria tujifunze.Achana mambo ya ndani ya Mahakama .. kitendo cha madeleka kusema Polisi hawana mamlaka ya kutoa kibali cha mikutano ni leakage kubwa sana kwenye taaluma ya law....HAJUI KITU
Nenda hapo kwa balozi wa nyumba 10 atakuelezea hii Sheria ya mikusanyiko ipoje na inatekelezwajeTusaidie hiyo sheria sisi mbumbumbu wa sheria tujifunze.
Kuna hoja gani upumbavu Lissu amewafundisha sheria kuanzia bungeni akiwa na kaja kuwafundisha sheria mahakamaniUnaiwaza sana chadema fanya kazi acha porojo mitandaoni
WEka hiyo sheria hapa. Acha kubwajaja mkuu.Nenda hapo kwa balozi wa nyumba 10 atakuelezea hii Sheria ya mikusanyiko ipoje na inatekelezwaje
Ila we jamaa bwana tofautisha kati ya embedded learning na training tatizo hamjui kitu wakuuKuna hoja gani upumbavu Lissu amewafundisha sheria kuanzia bungeni akiwa na kaja kuwafundisha sheria mahakamani