antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Sauti ya WENGI ni sauti ya MUNGU.....waliotaka kuiua CHADEMA wamepoteza fedha za umma bure hasa kwenye operesheni manunuzi ya viongozi wake. Baadhi ya waliotaka Chadema ife hapo zamani leo hii hawapo.
Una hakika?Kasma mnawapigania Watanzania kwa nini hawawachagui?
Kuna Mzee mmoja maarufu mstaafu na jirani yangu kila mara huuliza rafiki zake Lissu anarudi lini? Wakimuuliza wa nini anajibu, aje aongeze nguvu !CDM ipo na itaendelea kuwepo
Kwa watu wenye akili wanajua kuwa CDM ndiyo wanachaguliwa na wananchi na hilo halina ubishi.Kasma mnawapigania Watanzania kwa nini hawawachagui?
Yuko wapi Wassira?😁😁Nakuhakikishia kwamba kila atayejiapiza kuua Chadema atakufa yeye iwe kisiasa au kimwili .
Eee bhana mkuu hivi huyu mzee yupo kweli ?Yuko wapi Wassira?😁😁
Na watapukutika wote kudadeki !Sauti ya WENGI ni sauti ya MUNGU.
Huwezi kushindana na MUNGU ukabaki salama
Na ukiendelea kushupaza shingo kudai CHADEMA itakufa utapukutika kama vumbi la mbao za mnazi , waangalie wenzio walikoNi Tanzania pekee ambayo haiwezi kufa,
Vyamavyama hivi ni rahisi Sana kufa!!
Kwa mfono mdogo tu, Ikitokea Chadema imekufa utahama nchi??
Waunga juhudi wote mwisho 2025 wanasaulika,Woote waliotakia mabaya Chadema sasa hivi wamekwisha wao kisiasa na wengine tushawazika na wamesahaulika lakini Chadema ipo na inazidi kunawari.
Mbona unang'aka kama nh'ungo?Na ukiendelea kushupaza shingo kudai Chadema itakufa utapukutika kama vumbi la mbao za mnazi , waangalie wenzio waliko
Hiyo ndiyo dawa ya wasalitiWaunga juhudi wote mwisho 2025 wanasaulika,
Tuliza kidonda hicho wewe shangaziMbona unang'aka kama nh'ungo?
Narudia tena, Ni Tanzania pekee itakayodumu, vyamavyama hivi vinamwisho wake,
Na ikitokea Chadema imekufa, Je, utajitundika??
Mahera ndo anapanga.Kasma mnawapigania Watanzania kwa nini hawawachagui?
Hivi CHADEMA inampigania nani ati??Tuliza kidonda hicho wewe shangazi
Naye ni mmoja watakao hukumiwa kwa matendo yake ya kijambazi wa uchaguziMahera ndo anapanga.
Kamuulize mwenyekiti wakoHivi Chadema inampigania Nani ati??
Kwa hiyo inapigana na M/kiti wanguKamuulize mwenyekiti wako