JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,556
- 18,428
Hata wakiamia poa tu,ila li "tetezi lenu la wanyonge"lilotuaminisha uchumi,unakua kumbe hasara na wizi kibao umejaa,limeishaondoka,Mungu hadhiakiwi.CHADEMA wote wameamia CCM ya mama Samia.
CCM mbele kwa mbele.
Hivi kwanini hamtaki kukubali kwamba JPM ameshakufa na zama zake zimekwisha. Tatizo lenu mliwekeza kumshambulia mtu badala ya mifumo ya kitaasisi. Sasa mliekua mnashambulia ameondoka na sasa yupo mtu mwingine, mnashindwa pa kuelekeza lawama zenu mnabaki kuhangaika na mzimu wake.Acha uongo Chadema chaguzi zinafanyika wazi hakuna mizengwe ya kuchukua fomu ha kugombea. Mwendazake angeruhusu kitu kama hiki hata ndani ya chama chake asingepita. Alikuqa mbovu hana uwezo.
wacha story fake weweCHADEMA ni Mpango wa MUNGU kwa Watanzania.
Anavuna alichopanda.Hivi kwanini hamtaki kukubali kwamba JPM ameshakufa na zama zake zimekwisha. Tatizo lenu mliwekeza kumshambulia mtu badala ya mifumo ya kitaasisi. Sasa mliekua mnashambulia ameondoka na sasa yupo mtu mwingine, mnashindwa pa kuelekeza lawama zenu mnabaki kuhangaika na mzimu wake.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Mizee kama ile sijui Mungu anaiacha kwa nini.Kwiiisha kabisa na roho mbaya yake
Mungu fundi kweli kweliAlietaka kuiua CHADEMA amekufa yeye kwa Corona.
Labda coronaMizee kama ile sijui Mungu anaiacha kwa nini.
Mungu anatisha sanaMungu fundi kweli kweli
Unamkumbuka sana bwana wako, mahaba mubashara hayo.yule bwana Mbowe ndio anafanya Chadema iendelee kuwepo
uwezo wako wa kufikiri unaishia hapo ni lazima unione kichaa lakini huo ndio ukweli, utake usitake nyumbu msukuleKwa kichaa kama wewe utaona hivyo