Kukata mzizi wa fitina, nimeamua kutumia source ambayo wewe mwenyewe uliitumia kuleta hizo takwimu! WikiPedia uliowatumia hawa hapa wanatujuza:-Mkuu we nishabiki wa omba omba fc so lazima upotoshe ili kukwepa kwamba mmebebwa na simba...
Na kwenye ukurasa huo huo ambao ulileta data zake, utaona kuna sehemu wameandika:-Note: For associations which have the same number of points, they are listed as having the same rank as CAF did not publish any tiebreaking criteria. In two occasions there was a tie for determining the 12th ranked association:
- In 2012, Ivory Coast received two entries in each tournament, while Angola and Zambia only received one entry in each.
- In 2013, Ivory Coast received two entries in each tournament, while Libya only received one entry in each.
Ni bahati mbaya sana nipo job, ningekutafutia link ya siku za nyuma ambayo ilikuwa imeelezea vizuri sana hili suala! Na kwa kutumia source yako hiyo hiyo, nadhani utapata jibu nani anaongea kwa ushabiki na kupotosha!!As with the UEFA ranking used for their club tournaments, the CAF ranking is based on the results obtained in each of the past five completed club seasons (each weighted equally).