Sasa Rasmi: CAF yathibitisha Tanzania kupeleka timu 4 mashindano ya vilabu barani Africa 2019/2020

Mkuu we nishabiki wa omba omba fc so lazima upotoshe ili kukwepa kwamba mmebebwa na simba...
Kukata mzizi wa fitina, nimeamua kutumia source ambayo wewe mwenyewe uliitumia kuleta hizo takwimu! WikiPedia uliowatumia hawa hapa wanatujuza:-
Note: For associations which have the same number of points, they are listed as having the same rank as CAF did not publish any tiebreaking criteria. In two occasions there was a tie for determining the 12th ranked association:
  • In 2012, Ivory Coast received two entries in each tournament, while Angola and Zambia only received one entry in each.
  • In 2013, Ivory Coast received two entries in each tournament, while Libya only received one entry in each.
Na kwenye ukurasa huo huo ambao ulileta data zake, utaona kuna sehemu wameandika:-
As with the UEFA ranking used for their club tournaments, the CAF ranking is based on the results obtained in each of the past five completed club seasons (each weighted equally).
Ni bahati mbaya sana nipo job, ningekutafutia link ya siku za nyuma ambayo ilikuwa imeelezea vizuri sana hili suala! Na kwa kutumia source yako hiyo hiyo, nadhani utapata jibu nani anaongea kwa ushabiki na kupotosha!!
 
Habari wakuu

Shirikisho La mpira wa miguu baran afrika limethibitisha rasmi Tanzania itapeleka timu 4 katika mashindano ya vilabu Barani afrika shiriksho limesema mwisho wa kufanya usajir kwa vilabu hivyo n June 30 mwaka huu

Hivyo kwa Tanzania timu zitakazoshiriki klabu bingwa ni
Simba
Yanga

Timu zitakazoshiriki kombe LA shirikisho ni

Azam
Kmc

Rai yangu timu zikawakilishe vema wafanye usajili View attachment 1117608
Zanzibar vipi..?
 
Suala la mwaka gani unazidisha kwa ngapi ni kutokana na mabadiliko ya kawaida tu kama ambavyo zamani, points ilikuwa zinakuwa computed kupitia timu zinazoingia robo fainali peke yake lakini baadae wakabadilisha na kutumia timu zinazoingia 16 bora! Net result, haijalishi eti nchi fulani iliongoza mwaka gani. Nchi zikifungana, wanagawana fursa! Pitia kumbukumbu zako na utathbibitisha hiki ninachokisema!!
Mabadiliko ya kawaida yapi kubali tu umeelimishwa kitu usichokijua....umesema mwaka hauna umuhimu wowote katika ku calculate point za nchi nimekuuliza kwanini mwaka mwingine point zinazidishwa kwa 5...mwaka mwingine zinazidishwa kwa 4...3....2....1....mbona hujanijibu ???? Ukweli ni kuwa Five year ranking system inaangalia miaka mitano iliyopita na jinsi unavyozidi kurudi miaka nyuma points zinazidi kupungua....kwa mfano simba kufika robo fainali mwaka huu 2019 point za nchi kwa msimu wa 2019/2020 zimehesabiwa 3×5=15.....utakapokuja ku calculate point za nchi msimu wa 2020/2021 kwa hatua hiihii waliofika simba mwaka 2019 takuwa 3×4=12.....tunazidisha mara tano...nne...tatu...mbili...moja...namba itazidi kupungua jinsi miaka inavyozidi kwenda mbele...baada ya miaka mitano kupita hii hatua waliyofika simba haitahesabiwa kabisa...so huwezi kusema eti mwaka wa karibu hauna thamani kuliko mwaka uliopita wakati mwaka wa karibu unapoint nyingi kuliko mwaka uliopita
 
Suala la mwaka gani unazidisha kwa ngapi ni kutokana na mabadiliko ya kawaida tu kama ambavyo zamani, points ilikuwa zinakuwa computed kupitia timu zinazoingia robo fainali peke yake lakini baadae wakabadilisha na kutumia timu zinazoingia 16 bora! Net result, haijalishi eti nchi fulani iliongoza mwaka gani. Nchi zikifungana, wanagawana fursa! Pitia kumbukumbu zako na utathbibitisha hiki ninachokisema!!
Mabadiliko ya kawaida yapi kubali tu umeelimishwa kitu usichokijua....umesema mwaka hauna umuhimu wowote katika ku calculate point za nchi nimekuuliza kwanini mwaka mwingine point zinazidishwa kwa 5...mwaka mwingine zinazidishwa kwa 4...3....2....1....mbona hujanijibu ???? Ukweli ni kuwa Five year ranking system inaangalia miaka mitano iliyopita na jinsi unavyozidi kurudi miaka nyuma points zinazidi kupungua....kwa mfano simba kufika robo fainali mwaka huu 2019 point za nchi kwa msimu wa 2019/2020 zimehesabiwa 3×5=15.....utakapokuja ku calculate point za nchi msimu wa 2020/2021 kwa hatua hiihii waliofika simba mwaka 2019 takuwa 3×4=12.....tunazidisha mara tano...nne...tatu...mbili...moja...namba itazidi kupungua jinsi miaka inavyozidi kwenda mbele...baada ya miaka mitano kupita hii hatua waliyofika simba haitahesabiwa kabisa...so huwezi kusema eti mwaka wa karibu hauna thamani kuliko mwaka uliopita wakati mwaka wa karibu unapoint nyingi kuliko mwaka uliopita
 
Kukata mzizi wa fitina, nimeamua kutumia source ambayo wewe mwenyewe uliitumia kuleta hizo takwimu! WikiPedia uliowatumia hawa hapa wanatujuza:-
Na kwenye ukurasa huo huo ambao ulileta data zake, utaona kuna sehemu wameandika:-
Ni bahati mbaya sana nipo job, ningekutafutia link ya siku za nyuma ambayo ilikuwa imeelezea vizuri sana hili suala! Na kwa kutumia source yako hiyo hiyo, nadhani utapata jibu nani anaongea kwa ushabiki na kupotosha!!
Screenshot_20190604-220140.jpg

Hapa mbona umeparuka mkuu...nani anapotosha kati yangu na wewe???points are weighted according to the year of the results na si ivyo unavyosema wewe
 
Imechangia point 3 but hazina maana...ingekuwa simba kachangia point let say 12 na yanga kachangia point 3 ambayo jumla zake zingefanya Tanzania iwe na point 15 tungesema hizo point 3 za yanga zinamaana...hata ingetokea simba kachangia point 14.5 na yanga akachangia point 0.5 tungesema point 0.5 za yanga zina umuhimu sababu ndo zimeiongezea nchi hadi kufikisha point 15 so zimetuwezesha kumshinda anayetufuatia ivory cost ambae naye anapoint 15....hizo point 3 za yanga hazina umuhimu wowote sababu hata ukizitoa haziathiri chochote bado nchi itakuwa nafasi ya 12 na itakuwa na sifa ya kuingiza timu 4....simba usiseme imechangia pakubwa sema point iliyozikusanya simba peke yake tu zilikuwa zinatosha kuipandisha nchi mpaka nafasi ya 12...unaposema imechangia pakubwa unamaanisha bila mchango wa yanga tusingekuwa na nafasi ya kuingiza timu 4 kitu ambacho si kweli....mchango wa yanga uwepo or usiwepo point tu alizobeba simba zilikuwa zinatuwezesha kuingiza timu nne
Mkuu Kwa ufafanuzi huu, hawa viti maalumu fc watakuwa wamekuelewa, wasipokuelewa watakuwa ni vimongo hao!

Hongera Sana mkuu!
 
View attachment 1117870
Hapa mbona umeparuka mkuu...nani anapotosha kati yangu na wewe???points are weighted according to the year of the results na si ivyo unavyosema wewe

Mabadiliko ya kawaida yapi kubali tu umeelimishwa kitu usichokijua....umesema mwaka hauna umuhimu wowote katika ku calculate point za nchi nimekuuliza kwanini mwaka mwingine point zinazidishwa kwa 5...mwaka mwingine zinazidishwa kwa 4...3....2....1....mbona hujanijibu ???? Ukweli ni kuwa Five year ranking system inaangalia miaka mitano iliyopita na jinsi unavyozidi kurudi miaka nyuma points zinazidi kupungua....kwa mfano simba kufika robo fainali mwaka huu 2019 point za nchi kwa msimu wa 2019/2020 zimehesabiwa 3×5=15.....utakapokuja ku calculate point za nchi msimu wa 2020/2021 kwa hatua hiihii waliofika simba mwaka 2019 takuwa 3×4=12.....tunazidisha mara tano...nne...tatu...mbili...moja...namba itazidi kupungua jinsi miaka inavyozidi kwenda mbele...baada ya miaka mitano kupita hii hatua waliyofika simba haitahesabiwa kabisa...so huwezi kusema eti mwaka wa karibu hauna thamani kuliko mwaka uliopita wakati mwaka wa karibu unapoint nyingi kuliko mwaka uliopita
Huna cha kunielimisha, sana sana unataka kuleta ligi isiyo na faida! NImekuwekea source yako wewe mwenyewe inayosema:-
Note: For associations which have the same number of points, they are listed as having the same rank as CAF did not publish any tiebreaking criteria. In two occasions there was a tie for determining the 12th ranked association:

  • In 2012, Ivory Coast received two entries in each tournament, while Angola and Zambia only received one entry in each.
  • In 2013, Ivory Coast received two entries in each tournament, while Libya only received one entry in each.
  • Wameshasema wazi hapo kwamba, association zaidi ya moja wakifungana points, zote hizo zinahesabiwa kuwa kwenye the same rank! Na hapo chini wametoa mifano ya miaka ambapo associations zilifungana points na kwahiyo wakalazimika kugawana nafasi!!

Sasa badala ya kusema unielimishe, weka hapa link inayosema association mbili zikifungana, ile ya points nyingi kwenye current year ndie anakuwa juu! WEKA HAPA HIYO LINK manake ulichoandika hapo juu ni yale yale tu!!!

Na hata ukiangalia hiyo ranking uliyoweka wewe mwenyewe, #20 kuna Rwanda na Zimbwabwe (zimefungana)! Kwanini basi Zimbabwe isiwe juu ya Rwanda kwavile msimu huu wanayo point 1 na Rwanda hawana!!!

The problem unachanganya mambo! Hajalishi ngapi wanazidisha na nini, conclusion inatokana na jibu la mwisho! Na hakuna popote waliposema kama nchi zinafungana, wanaangalia nchi ambayo ina points kwa msimu wa karibuni kabisa; HAKUNA!! KInachofanyika hapo kwa lugha nyepesi ni kama kutafuta wastani! Hata shuleni wakitafuta wastani halafu wanafunzi wawili wakafungana maksi wala hawasemi kwavile huyu kafaulu, mathalani hesabu basi awe juu ya mwenzake ambae hesabu hakufanya vizuri!
 
Sawa nashukuru kuliweka sawa. Katika hizo point 18 au whatever the number, Yanga ina mchango wake. Ni mwehu tu atakataa ukweli huo. Kwamba Mikia imechangia pakubwa halina ubishi.
Elfu kumi haiwi elfu kumi ukitoa senti moja tu.
Achana na point 15 za Simba, chukua zenu 3 za Yanga ambazo unajitambia hapa... Halafu jiulize kwanini msimu jana hamkushiriki mashindano ya CAF.?

Kubali... Kataa ukweli ndio huo.. Endeleeni kuzomea.
 
Mabadiliko ya kawaida yapi kubali tu umeelimishwa kitu usichokijua....umesema mwaka hauna umuhimu wowote katika ku calculate point za nchi nimekuuliza kwanini mwaka mwingine point zinazidishwa kwa 5...mwaka mwingine zinazidishwa kwa 4...3....2....1....mbona hujanijibu ???? Ukweli ni kuwa Five year ranking system inaangalia miaka mitano iliyopita na jinsi unavyozidi kurudi miaka nyuma points zinazidi kupungua....kwa mfano simba kufika robo fainali mwaka huu 2019 point za nchi kwa msimu wa 2019/2020 zimehesabiwa 3×5=15.....utakapokuja ku calculate point za nchi msimu wa 2020/2021 kwa hatua hiihii waliofika simba mwaka 2019 takuwa 3×4=12.....tunazidisha mara tano...nne...tatu...mbili...moja...namba itazidi kupungua jinsi miaka inavyozidi kwenda mbele...baada ya miaka mitano kupita hii hatua waliyofika simba haitahesabiwa kabisa...so huwezi kusema eti mwaka wa karibu hauna thamani kuliko mwaka uliopita wakati mwaka wa karibu unapoint nyingi kuliko mwaka uliopita
Maelezo yote hayo hayajibu hoja yako kwamba nchi zikifungana, ile yenye points at the most current season ndie anakua juu! Kwamba nimesema mwaka hauna umuhimu we sasa ndo unataka kupotesha! NInachokubishia wewe ni hoja yako kwamba asscociation zikifungana, mwenye points kwenye msimu wa karibuni anakuwa ndie on top of mwenzake hata kama wamefungana! Hiyo taarifa SIO YA KWELI!!
 
Kwani azam anaonyesha mechi za kimataifa
Production ya mechi zote za Kimataifa hapa bongo zinafanywa na Uhai production (Azam). Zinarushwa hewani kwenye channel ya ZBC 2 ambayo inapatikana kwenye king'amuzi cha Azam pekee. Hata wachumbuzi wanao chambua huwa ni waajiliwa wa Azam, ingawa siyo wale wanao tumika kwenye TPL.
 
Back
Top Bottom