Sasa rukhsa Meli kubeba chakula kutoka bandari za Ukraine zilizotekwa

Misri walipelekewa meli moja ya ngano wakadai makaratasi ya mzigo.Haijulikani kama waliicha ikarudi Urusi au walichukua bidhaa.Sasa itakuwa rahisi kupewa mzigo na makaratasi yote wanayotaka
wanataka chakula au makaratasi??
 
propaganda ya nguvu sana, hakuna uhuru wowote russia ilioupata kwa majimbo ya donbas wala bandari sharti la kuziachia meli chakula kupita ni amri waliyolazimiwa kutoka Marekani., putini hana namna
 
Siyo kodi tu ye ndio anauza hizo nafaka tena kwa mataifa ambayo sio adui kwa Urusi, kwa NATO kibano kipo palepale!!
Hawezi kuuuza wewe .Gas tu na Mafuta ameshindwa kwa sababu ya currency na hana mawasiliano ya kibenk na zante kwa swift
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…