Sasa unaambia vijana wasibabaike na kudanganyika na BIASHARA utafikiri sasa wana choice nyingine lukuki za kufanya

Sasa unaambia vijana wasibabaike na kudanganyika na BIASHARA utafikiri sasa wana choice nyingine lukuki za kufanya

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Mi nafikiri tuache ujuaji sana.

Experience yako binafsi isiwe ndio hitimisho kuu.

Kwa maisha yetu sisi masikini wa kiafrika, fursa ziko limited na expensive maana rasilimali zimekuwa economized.

Kijana huyu ambae amekaa miaka 6 hata hajawahi kuitwa katika interview, kijana alieishia forma 4, kijana aliepata mirathi, kijana alietusua jiwe machimboni, unataka wakafanye nini, wakajiuze au????
 
Back
Top Bottom