Kwa lugha nyepesi, kuuza hati fungani za Serikali ni kukopa. Hiyo ina direct impact kwenye deni la taifa. Sasa tutakopa kutoka nje as well as kutoka ndani ya EAC na SADC. Kwa maneno mengine, Serikali ya mama kopakopa inatanuliwa wigo wa kukopa!
Soma vizuri na kwa usahihi aya ya pili ya hilo Tangazo. Unadhani kwanini Tangazo limeeleza kwa nchi za SADC tu? Tangazo limeruhusu Mtanzania pia anaweza kuwekeza huko. Unadhani wangeandika hivyo kama hizo nchi haziruhusu? Sasa hilo swali lako la kutaka mfano wa nchi lina maana gani?
Watu hawasomi document husika wanakurupuka kukomenti.
Inaonekana kuna makubaliano yamefanyika na watanzania wameruhusiwa kwenda kununua Kwenye hizo nchi.
Ngoja nikachungulie Botswana au south Africa jamaa uchumi wao upo very Strong
Ni vizuri pia wageni waruhusiwe kununua hisa kwenye soko la hisa Tanzania na Sisi watanzania turuhusiwe kununua hisa masoko ya hisa ya nje ya nchi kama Ulaya,marekani nk
Hati fungani means treasury bonds, Unawekeza fedha zako kwa lengo ili upate faida kwa uwekezaji wako, risk yake ipo wapi hapa? Mtaji wako unakuwa umeshikwa na Bot, kwa kipindi maalumu,huku ukilipwa percentage zako,
BINAFSI SIONI UHATARI WAKE
BOT - RUKSA SASA WAKAAZI/ WATANZANIA KUNUNUA HATI FUNGANI KTK NCHI ZA SADC / KUFUNGUA AKAUNTI KWA HELA YA KIGENI / KUNUNUA FEDHA ZA KIGENI US$ 10,000 WANAPOSAFIRI New Foreign Exchange Regulations Issued Set foreign exchange limits for travelers Restrictions for residents to maintain bank...
www.jamiiforums.com
BOT - RUKSA SASA WAKAAZI/ WATANZANIA KUNUNUA HATI FUNGANI KTK NCHI ZA SADC / KUFUNGUA AKAUNTI KWA HELA YA KIGENI / KUNUNUA FEDHA ZA KIGENI US$ 10,000 WANAPOSAFIRI
New Foreign Exchange Regulations Issued
Set foreign exchange limits for travelers
Restrictions for residents to maintain bank accounts outside Tanzania
Forex transactions only through banks
Payments by non-residents through banks
Limitations on dealing between affiliates provided
Guidance on how to remit dividends to shareholders
Set requirements for capital and financial account transactions
TZS 1M fine per day for non-registration of a foreign loan
Conditions provided for outward direct investment and purchase of real assets by residents
Governor vested with powers to grant exemptions
Penalties in the Act cemented
Repeal the 1998 and 2003 Regulations
In exercise of his power under section 6 of the Foreign Exchange Act, the Governor of the Bank of Tanzania has issued new detailed foreign exchange Regulations vide the Foreign Exchange Regulations, 2022 (the Regulations) which came into force on 13 May 2022.
Regulation 3(2) of the Regulations provides that residents travelling abroad may be issued with foreign currency by a bank, financial institution or bureau de change of an amount not exceeding USD 10,000.
It should be noted that the same limitation is provided for under the Foreign Exchange (Bureau de Change) Regulations, 2015. Further to the above and prior to issuance of the said amount, a resident will be required to submit documentary evidence of residence and valid travelling documents.
The Regulations prohibit residents to open or maintain a bank account outside Tanzania except where there is a settlement of securities in the prescribed territory (a member country of the East African Community or Southern Africa Development Community countries) or where one obtains an approval from the Governor.
The Regulations define resident as a person who resides consecutively or whose centre of predominant economic interest is in the United Republic for twelve months or more. Although these Regulations remain untested, it would seem that an expatriate who is working in Tanzania for more than twelve months may not be able to operate a foreign bank account in their country of residence without permission of the Governor.
Serikali haina pesa. Inatapatapa tu nayo, na kufirisika huanza hivihivi. Labda tujue faida na hasara ya hili ni nini? Na hizo bonds watanunua kwa Tsh au kwa Dola?
Kwamba tumewaruhusu wageni kuja kuwekeza kwenye dhamana zetu ili nasi tupate sababu ya kwenda kuwekeza kwenye dhamana zao, sijui kama nchi zilizotajwa nao wanaruhusu hiki kitu.
Hatua hii ya serikali kwangu naona ni sawa na kuweka uchumi wetu rehani, itakuwa vipi hao wawekezaji wakiamua kuondoa dhamana zao bila serikali kujiandaa?
Hali hii naona inasababishwa na udogo wa uchumi wetu, tumekuwa tegemezi sana, kuanzia kuchukua mikopo kwenye mabenki ya biashara, hadi kwenye taasisi za kimataifa, na kwa vile wapo wanaoona kukopa ni sifa, basi tujiandae kudumaa zaidi.
Yatakuwa yale yale ya Urusi na Ulaya. Ulaya wamewekeza zaidi urusi kutegemea nishati ya gas na mafuta leo hii wana ugomvi urusi anataka awakatie gesi washapoteana wananunua gesi kwa hela ya urusi tu sasa. Akisema awazimie gas na kukata supply ya mafuta kawamaliza ulaya viwanda watafunga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.