Nchi zote tajiri duniani ndio zinavyokopa ivyo kwa kuuza hati fungani kwa yeyote mwenye uwezo wa kununua duniani. Be it wanunuzi wakubwa ni pension funds zenye mitaji mikubwa, mabank, other investment institutions na serikali ya China.
Nchi maskini hazina uwezo wa kuuza kwenye soko la dunia, ideally kila mtu angependa kuuza huko ni kukopa kwa mtindo wa kujipangia interest za deni mwenyewe.
Huko na kwenyewe kuna rating agencies wenye majina kama ‘Moody’s’, Fitch na ‘Standard and Poor’ wenye kuliambia soko huyu AAA anauewezo wa kulipa deni kirahisi, na huyu ana credit CCC una mkopa at your own risk
View attachment 2255845
Tanzania ipo ranked kwenye number 15 last time we tried to get access into international market. Sasa kama kuanzia number 5 kupata mkopo kutoka makampuni makubwa utata ukiwa number 15 sahau kabisa.
Kwa ivyo nadhani lengo ni kukopeshana wenyewe kwenye wenyewe ndani ya jumuiya ni jambo zuri, ila bond zetu zina interest kubwa sana kwa sababu ya poor credit rating. Otherwise tumechelewa.