Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Nyie washamba muishie Chato huko.Serikali imefanya marekebisho kwa sheria ya Benki kuu.
Kuruhusu watu nje ya nchi kununua treasury bonds.
Hii ni hatari kwa uchumi wetu.
We are officially sold out.View attachment 2255809
Simply put ya hiki ulichoandika hapa ni kwamba, kwasababu nchi masikini wamekosa sifa ya kukopesheka toka.kwa taasisi na mashirika makubwa ya dunia[ tupo # 15 kama ulivyoandika juu], sasa tumeamua kukopeshana wenyewe.Nchi zote tajiri duniani ndio zinavyokopa ivyo kwa kuuza hati fungani kwa yeyote mwenye uwezo wa kununua duniani. Be it wanunuzi wakubwa ni pension funds zenye mitaji mikubwa, mabank, other investment institutions na serikali ya China.
Nchi maskini hazina uwezo wa kuuza kwenye soko la dunia, ideally kila mtu angependa kuuza huko ni kukopa kwa mtindo wa kujipangia interest za deni mwenyewe.
Huko na kwenyewe kuna rating agencies wenye majina kama ‘Moody’s’, Fitch na ‘Standard and Poor’ wenye kuliambia soko huyu AAA anauewezo wa kulipa deni kirahisi, na huyu ana credit CCC una mkopa at your own risk
View attachment 2255845
Tanzania ipo ranked kwenye number 15 last time we tried to get access into international market. Sasa kama kuanzia number 5 kupata mkopo kutoka makampuni makubwa utata ukiwa number 15 sahau kabisa.
Kwa ivyo nadhani lengo ni kukopeshana wenyewe kwenye wenyewe ndani ya jumuiya ni jambo zuri, ila bond zetu zina interest kubwa sana kwa sababu ya poor credit rating. Otherwise tumechelewa.
Nakumbuka ni mwaka ja a ndio tulikua downgraded kutoka B1 kwenda B2 na Moody's.Nchi zote tajiri duniani ndio zinavyokopa ivyo kwa kuuza hati fungani kwa yeyote mwenye uwezo wa kununua duniani. Be it wanunuzi wakubwa ni pension funds zenye mitaji mikubwa, mabank, other investment institutions na serikali ya China.
Nchi maskini hazina uwezo wa kuuza kwenye soko la dunia, ideally kila mtu angependa kuuza huko ni kukopa kwa mtindo wa kujipangia interest za deni mwenyewe.
Huko na kwenyewe kuna rating agencies wenye majina kama ‘Moody’s’, Fitch na ‘Standard and Poor’ wenye kuliambia soko huyu AAA anauewezo wa kulipa deni kirahisi, na huyu ana credit CCC una mkopa at your own risk
View attachment 2255845
Tanzania ipo ranked kwenye number 15 last time we tried to get access into international market. Sasa kama kuanzia number 5 kupata mkopo kutoka makampuni makubwa utata ukiwa number 15 sahau kabisa.
Kwa ivyo nadhani lengo ni kukopeshana wenyewe kwenye wenyewe ndani ya jumuiya ni jambo zuri, ila bond zetu zina interest kubwa sana kwa sababu ya poor credit rating. Otherwise tumechelewa.
ROSTAM AZIZI HUYOSerikali imefanya marekebisho kwa sheria ya Benki kuu.
Kuruhusu watu nje ya nchi kununua treasury bonds.
Hii ni hatari kwa uchumi wetu.
We are officially sold out.View attachment 2255809
Kwakuwa sisi tumeonekana tumelala acha wageni watumie fursaSerikali imefanya marekebisho kwa sheria ya Benki kuu.
Kuruhusu watu nje ya nchi kununua treasury bonds.
Hii ni hatari kwa uchumi wetu.
We are officially sold out.View attachment 2255809
Wewe uko sawa kichwani? China anaongoza kununua za marekani.Wageni kumiliki uchumi wetu.
Nipe mfano wa nchi inayoruhusu mgeni kununua hati fungani za serikali??
Kukopa ni kukopa aijalishi hela umetoa wapi ideally unachokata anaekukopa awe anaku-charge interest ndogo tu hilo ndio la msingi.Simply put ya hiki ulichoandika hapa ni kwamba, kwasababu nchi masikini wamekosa sifa ya kukopesheka toka.kwa taasisi na mashirika makubwa ya dunia[ tupo # 15 kama ulivyoandika juu], sasa tumeamua kukopeshana wenyewe.
Kwa huu uchumi wetu mdogo wa hizi nchi patakuwa na tija yoyote hapo? halafu mbona wanaongeza maeneo ya kukopa zaid? kwa maana kwamba, tunazidi kuongeza ukubwa deni la taifa [sasa litatoka ndani ya jumuia, na nje].
Binafsi, hapa naona serikali imejiongezea mzigo wa kulipa madeni, na sioni faida ya maana watakayopata toka kwa hiyo mikopo watakayopewa na masikini wenzao.
Nashindwa kuelewa malengo ya hawa ndugu zetu.
Hivi wamenunuliwa bei gani??
Hivi unajua kuwa tunakopa pia kwenye taasisi za nje?Kwamba tumewaruhusu wageni kuja kuwekeza kwenye dhamana zetu ili nasi tupate sababu ya kwenda kuwekeza kwenye dhamana zao, sijui kama nchi zilizotajwa nao wanaruhusu hiki kitu.
Hatua hii ya serikali kwangu naona ni sawa na kuweka uchumi wetu rehani, itakuwa vipi hao wawekezaji wakiamua kuondoa dhamana zao bila serikali kujiandaa?
Hali hii naona inasababishwa na udogo wa uchumi wetu, tumekuwa tegemezi sana, kuanzia kuchukua mikopo kwenye mabenki ya biashara, hadi kwenye taasisi za kimataifa, na kwa vile wapo wanaoona kukopa ni sifa, basi tujiandae kudumaa zaidi.
Sawa tu wacha waje kuwekeza tySerikali imefanya marekebisho kwa sheria ya Benki kuu.
Kuruhusu watu nje ya nchi kununua treasury bonds.
Hii ni hatari kwa uchumi wetu.
We are officially sold out.View attachment 2255809
Ndio tatizo wa Watanzania... ujuaji mwingi hata wasivyojua. Bonds kuuzwa kwa wageni sio jambo la ajabu. Wanavyolalamika utafikiri wana hizo hela za kununua bonds.Asee umeniangusha sana sana,,, kumbe hujui kitu mla.. [emoji848][emoji23][emoji23]
Serikali imefanya marekebisho kwa sheria ya Benki kuu.
Kuruhusu watu nje ya nchi kununua treasury bonds.
Hii ni hatari kwa uchumi wetu.
We are officially sold out.View attachment 2255809
Kwa Lugha rahisi nitachukua mfano wa bond za SerikaliKwa faida yangu na wengine bond ni nini? inafanyaje kazi?
Asante sana Mkuu YEHODAYA nimeelewa vizuri kabisa...Kwa Lugha rahisi nitachukua mfano wa bond za Serikali
Bond ya Serikali ni mkopo ambao wewe kama mtu binafsi au kampuni binafsi au taasisi unaikopesha Serikali pesa zako kwa kipindi maalumu kwa riba ambayo itakuwa inalipwa kila baada ya muda fulani
Ukiwa na pesa zako waweza kopesha Serikali. Unachotakiwa kufanya nenda kwenye benki yoyote karibu nawe waambie una mamilioni yako unataka kukopesha Serikali watakupa utaratibu wa kununua hizo bond ziko za muda mfupi mfano za miezi mitatu.,sita nk na ziko.za muda mrefu kuanzia mwaka Miaka mitano ,saba,15 ,20,25 nk ambapo ukikopeshwa unakuwa unapata riba kwa mwezi au kila baada ya miezi sita muda mliokubaliana ukifika mwisho wanakurufishia pesa zako ulizokopesha
Kawaida huwa ni ushindani mnadani wewe unaandika utaikopesha Serikali kwa riba ya shilingi ngapi kwa muda gani na mwingine naye hujaza ana shilingi ngapi na anataka kukopesha Serikali kwa riba ya shilingi ngapi
Wanaoshinda ndio ambao Serikali huchukua pesa zao kama mkopo na kuanza kuwalipa riba
Ni vizuri kupitia kwa mabenki sababu wao wana uzoefu kwenye hiyo minada ya kugombania kukopesha Serikali kupitia bonds
Mkuu uko sawa kweli mbona karibu Dunia nzima wageni wanaruhusiwa kukununua hayo makitu tukianza na baba & mume wenu USAWageni kumiliki uchumi wetu.
Nipe mfano wa nchi inayoruhusu mgeni kununua hati fungani za serikali??
Kama wana madolari acha wanunue tu.Kumpa mgeni haki sawa na mwenyeji ni makosa ambayo hakuna serikali inafanya hapa duniani.
Marekani kule kibokoMkuu uko sawa kweli mbona karibu Dunia nzima wageni wanaruhusiwa kukununua hayo makitu tukianza na baba & mume wenu USA