Hakunaga kitu km hicho.mhhhh ukikutana na mguu wa mtoto je si nitaanza kuelea mwenzio
mhhh unataka kuniua kwa presha weweHakunaga kitu km hicho.
Presha itoke wapi? Acha uogamhhh unataka kuniua kwa presha wewe
unipe walau tumaini namba nimeipata au ngumu hapoo[/QUOTE
Tatizo na wewe tayari unapendwa halafu mie nina wivu.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Em ninong'oneze basi lol[emoji87] [emoji87]
Wahi,nafasi ni chache asmaa80ha ha ha ha
ha ha ha ha wacha nikae pembeni lol...tayari ninae Anaenipenda na ameshanitaja hadharani, nadhani kama ni swala la ndoa inabidi nimpe yeye hiyo nafasi! ha ha ha haWahi,nafasi ni chache asmaa80
Mapadre ndio wazur[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kumbe mapadre tuko wengi humu !
Mapadre ndio wazur[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
My upo mbona hujanitajaHivi ile game bado nije kupiga chabo?