Sasa zamu ya akina dada ikitokea fursa kuchagua mume hapa Jf utamchagua nani?

Sasa zamu ya akina dada ikitokea fursa kuchagua mume hapa Jf utamchagua nani?

Sijui barafu wa moyo wangu atauona huu uzi?
 
wakaka poa wanaruhusiwa kuchagua waume? ni swali tu sio ugomvi.
 
Wahi,nafasi ni chache asmaa80
ha ha ha ha wacha nikae pembeni lol...tayari ninae Anaenipenda na ameshanitaja hadharani, nadhani kama ni swala la ndoa inabidi nimpe yeye hiyo nafasi! ha ha ha ha
 
Nyani Ngabu. Akinicheat ntamuacha ntaolewa na The boss
 
Back
Top Bottom