SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

we

Wewe huna tofauti na mbwa jike aliyepandwa na joto na hakuna dume,those days Sativa kafanyiwa abduction did you wrote any thing to express your heartfelt sorrows towards?,filho da puta
Sasa hapa umeandika nini hapa? Maana umeandika ujinga tu.
 
Ngoja nimualike JF nimtambulishe kwako kuwa una undugu na mafwele ili mshee matusi na mafwele nusu kwa nusu
 
Ngoja nimualike JF nimtambulishe kwako kuwa una undugu na mafwele ili mshee matusi na mafwele nusu kwa nusu
Mwite haraka sana aje atuambue ana matatizo na shida gani kichwani mwake.kwa sababu mwenye akili Timamu hawezi kutukana matusi kama afanyavyo yeye.
 
Mwite haraka sana aje atuambue ana matatizo na shida gani kichwani mwake.kwa sababu mwenye akili Timamu hawezi kutukana matusi kama afanyavyo yeye.
Kwa wewe mwenyewe kuishobokea CCM ni matusi kuliko hata ya Sativa
 
This man who has defied death in a miraculous way can not be judged by the likes of you and most of us. The fact that you have audacity to talk about his behaviour knowing what he has been through is lucid of an evil 😈 society we are living in. Chama la machawa
 
Nawe ni wale wale wasiojitambua tu!!
Utasema kweli, sasa wewe unajificha nini na wewe si toka katukane watu halafu utajiona kama unajitambua au hapana. Kuandika tu kwani kazi. Jitoe hadharani tukana hapo ndio nitajuwa unajitambua.
 
Embu tukana.
wewe ni mpuuzi tu,una bwabwaja bwabwaja tu humu unatumika kama toilet papers tu unajiona mtu kudhihaki watu wanao dhulumiwa haki zao,once you choosed to engage with politics you better base on the essence of logical and minded politics that have positive impacts on the Nation,sio uharo daily.
 
Relax kwanza gentleman 🀣

calm down,
unaelewa mambo haya hayahitaji mihememko wala makasiriko, ni muhimu sana kuongozwa na hekima na busara za kawaida tu za binadamu....

kuchalenge mambo ya maana, mambo ya msingi kwa matusi na dhihaka ni useless na completely nonsense. Eti ustaarabu sijui nini huko ng'weee ng'weee ng'weee. Kuporomosha matusi mazito ndiyo ustaarabu? Lione kwanza, alaaa!!

ukimtukana mtu binafsi,
akakujibu kwa kwenzi au kutendo kingine, huna haja ya kulialia na kusingizia mengine. Huenda ndiyo majibu ya matusi yako, uliemtukana kakujibu kwa vitendo πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…