Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #461
Ni ujinga tu afanyayo.Huyo mtu ni muhanga, amekuwa Kama mbogo aliyejeruhiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ujinga tu afanyayo.Huyo mtu ni muhanga, amekuwa Kama mbogo aliyejeruhiwa.
Ni ujingaHuyo mtu ni muhanga, amekuwa Kama mbogo aliyejeruhiwa.
Mimi saizi yangu inatakiwa kuitwa Hard talk Ya BBC ili nikazungumze na DUNIAChuo kipi mkuu umetukimbia clubhouse wewe😅😅😅😅😅😅
🖕🏾 ishi hapoWapo watu kama Mdude, SATIVA, lissu na wengi tu ambao kichwani hawapo sawa, nawapa pole sana police wetu, wapo watu unaweza kushindana nao kuwanyoosha kitabia lakini isiwezekane kabisa kutokana na magonjwa yao ya akili, hawa mara nyingi hutulizwa kwa bakora za hadharani! 5-10.
Ila kuna demokrasia ya kutekana na kuuana!!? Hopeless kabisa nyie machawa.Hakuna demokrasia ya kutukana matusi ya nguoni na kudhalilisha watu wengine.
Nani amekuteka.mbona upo huru humu muda wote? Acheni kuunga mkono mambo ya kijinga jinga kama hayo ya kutukana matusi bila mpangilioIla kuna demokrasia ya kutekana na kuuana!!? Hopeless kabisa nyie machawa.
Mpaka siku na wewe wakuteke ndio utajua ubaya wao.Nani amekuteka.mbona upo huru humu muda wote? Acheni kuunga mkono mambo ya kijinga jinga kama hayo ya kutukana matusi bila mpangilio
Maneno unayotamka ni km umelewa au una ufahamu mdogo wa mambo kias hujui tafsiri ya unachoandika..elewa hivi, ukipenda kukaa kwenye ofisi ya umma, uwe tayari kutukanwa, hutaki kutukanwa au kukosolewa toka kwenye ofisi ya umma, watakaa wale wanafahamu maana ya kutumikia watu! Ukitoka hakuna mtu atakutaja..!Relax kwanza gentleman 🤣
calm down,
unaelewa mambo haya hayahitaji mihememko wala makasiriko, ni muhimu sana kuongozwa na hekima na busara za kawaida tu za binadamu....
kuchalenge mambo ya maana, mambo ya msingi kwa matusi na dhihaka ni useless na completely nonsense. Eti ustaarabu sijui nini huko ng'weee ng'weee ng'weee. Kuporomosha matusi mazito ndiyo ustaarabu? Lione kwanza, alaaa!!
ukimtukana mtu binafsi,
akakujibu kwa kwenzi au kutendo kingine, huna haja ya kulialia na kusingizia mengine. Huenda ndiyo majibu ya matusi yako, uliemtukana kakujibu kwa vitendo 🐒
ILa ipo ya kuteka na kufunga hata kuuwa sioHakuna demokrasia ya kutukana matusi ya nguoni na kudhalilisha watu wengine.
wewe ni takataka ,ambaye umesanukia tu siasa ili hali hujui mantiki na essence za siasa,ni mpiga kelele kama mbwa mwenye njaa aliyefungiwa bandani,you had never talk the logic for the Nation,Did you narrate any thing positives regarding Sativa's abduction those days?,once you choosed to shut your mouth on those days you have to shut your bowl even now,wewe nikama toilets paper tu unatumika na wanaokutuma kudhihaki maisha na hisia za watu ,do your non-sense but never have a joke on victimized persons.Ninyi ndio mnafanya CCM ionekane ni ya mazumbukuku.Embu tukana.
Unajuaje kama sitoki kuongea ewe mpumbavu usiejitambua. Hivi mtu ukipewa 10k, kofia na t-shirt huwa nini kinaifubaza akili. Chama la wezi limeweza kuteka akili za watu kama wewe, nitolee undezi hapa...Utasema kweli, sasa wewe unajificha nini na wewe si toka katukane watu halafu utajiona kama unajitambua au hapana. Kuandika tu kwani kazi. Jitoe hadharani tukana hapo ndio nitajuwa unajitambua.
huyu anamiliki kichwa chenye ubongo kutimiza kusudi la uumbaji tu.ILa ipo ya kuteka na kufunga hata kuuwa s
..ingekuwa kuandika tu hakuleti matokeo usingeshupaza makalio kusoma na kujibu kinachoandikwa, lkn kula yako inapatikana kwa njia hii, utakuwa mjinga kukata mkono unaokupa chakula.Utasema kweli, sasa wewe unajificha nini na wewe si toka katukane watu halafu utajiona kama unajitambua au hapana. Kuandika tu kwani kazi. Jitoe hadharani tukana hapo ndio nitajuwa unajitambua.
haya bwana sijawahi kutukana mtu ila nakupaga sifa unayoistahiliLucas Mwashambwa huwa anatukanaga pia yaani kuna yule Retired bila kutukana hajisikii Raha 😂
Nchi yetu ni ya amani na usalama wa kutoshaMpaka siku na wewe wakuteke ndio utajua ubaya wao.
Kiupande wa ccm ndio hulinda ila kwa wapinzani hakuna hicho kitu. Unafiki haufai simamia haki.Kazi ya jeshi la polisi ni kulinda Raia na mali zao.hiyo ndio kazi kubwa ambayo imekuwa ikifanywa na jeshi letu siku na wakati wote usiku na mchana.
Nchi yetu ni ya amani na utulivu na yenye kuzingatia misingi ya kisheria na utawala bora.ILa ipo ya kuteka na kufunga hata kuuwa sio
Kwanini usiweke picha yako hapa ili kila mtu aweze kuionaPicha ya Lucas inahitajika Kwa uchunguzi maalum!