SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

utovu wa nidhamu wa aina hiyo tena kwa kijana kama huyo, hautavumiliwa na jamii hata kidogo. Atapoteza huruma aliyoivuna kabla

namshauri ajiepushe na utovu wa nidhamu wa aina zote mara moja. akumbuke kwamba kutukana sio ujasiri au ushupavu.🐒
Juzi kati tu hapa tuliona vijana wa dogo wa hicho chama chenu wakiwaita baadhi ya viongozi wa upinzani mashoga na walevi je huo unavumilika? Au ni maswala ya mkuki kwa nguruwe 🤔 gentleman 🐒
 

Mkuu usiongee uzoefu ambao hujawahi kuupitia.

Alipotekwa huwezijua aliumizwa kwa kiwango gani.

Alafu waliomteka Mpaka sasa hawajatiwa nguvuni ulitaka afanyeje?
 
Mbona wewe haukujutia kwa kutouawa kwake, badala yake ulishangilia, hata hivyo matusi hayajeruhi kama walivyomjeruhi yeye. Sasa na wewe Lucas ulipata wapi mamlaka ya kuwaamuru polisi, au umekwisha pata mamlaka serikalini!
 
Haki kwa Wote Bila Ubaguzi

Mtume (SAW) alisema:
"Watu waliokuwa kabla yenu walipotea kwa sababu walipokuwa mtu wa heshima akifanya kosa, walimwachia huru, lakini walipokuwa masikini au wanyonge walimuadhibu. Naapa kwa Mwenyezi Mungu, kama Fatimah binti Muhammad angeiba, ningemkata mkono wake."
(Sahih al-Bukhari, Hadithi 3475; Sahih Muslim, Hadithi 1688)
 
Mbona wewe haukujutia kwa kutouawa kwake, badala yake ulishangilia, hata hivyo matusi hayajeruhi kama walivyomjeruhi yeye. Sasa na wewe Lucas ulipata wapi mamlaka ya kuwaamuru polisi, au umekwisha pata mamlaka serikalini!
Embu kawatukane wazazi wako matusi ambayo huyo jamaa anatukana watu mitandaoni
 
Lucas leo nikuambie kitu muhimu pengine hukifahamu, tuko hapa duniani si kwa ajili ya pesa, pesa haiwezi kukupa kila kitu..kitu muhimu kwa maisha ya binadamu ni DESTINY wewe uko hapa duniani kupitia wazazi wako, na wewe utakuwa mzazi pia Mungu ametuumba hivyo..kamwe usiwe chanzo cha matatizo kwa generation yako kwa sababu ya matendo unayofanya sasa..wewe umekuwa mtetezi wa watu hata km ni viongozi waache wajitetee wenyewe..wewe huwezi kujua mioyoni mwao hao unaowatetea wanawaza nini, maneno unayosema mengi ni ya upotoshaji hayawezi kupotea..km si ya baraka ipo siku yatakurudia wewe au generation yako! uwe mwangalifu..usichukulie rahisi rahisi, FIKIRI kabla ya kusema..ningekuelewa unapomuongelea sativa juu ya matamshi yake km ungeeleza pia kinachomfanya atamke maneno hayo..mbona hakuwa hivyo miaka ya nyuma?? sativa alinusurika kifo, lakini ametaja watu waliomfanyia hivyo...je, wamehojiwa?? acha kuchukuliwa hatua.. lakini pia mtu anapokuwa na dhamana kwenye ofisi ya umma, lazima atambue lolote analofanya km halipendezi lazima litakosolewa na kushutumiwa na huwezi kupangia watu maneno ya kusema..km hutaki usemwe ondoka kwenye hiyo nafasi uepuke kutukanwa! Usimlaumu sativa, wafundishe wanaotukanwa wawe wavumilivu, lakini watende MEMA ili wasitukanwe!
 
Wewe jamaa huna aibu kabisa, huna aibu kabisa, kati ya watu wajinga hapa jukwaani utakuwa wewe
 
Mkuu usiongee uzoefu ambao hujawahi kuupitia.

Alipotekwa huwezijua aliumizwa kwa kiwango gani.

Alafu waliomteka Mpaka sasa hawajatiwa nguvuni ulitaka afanyeje?
Kwa hiyo na wewe na akili yako timamu unaunga mkono Mimatusi anayotoa na kutukana? Kwa hiyo hiyo ndio njia unayounga mkono na kuwashauri vijana wafanye hivyo kuporomosha matusi ya nguoni kutukana watu? Ndio akili yako imegota hapo? Ndio suluhisho hilo?
 
Wewe inasemekana ulikuwa unatoka na Makonda then akakuchukua Kafulila. Hayo maneno yamezagaa sana siyo riziki
 
Sativa anayohaki kufanya hayo kutokana na mateso waliyompa kisha wananyamazà kama vile siyo wao! Hata mimi ningegadhabika. Nyie machawa wapumbavu mbona hamhoji kwa nini waliotenda na yeye kuwatambua hawachukuliwi hatua yoyote, ni wazi mnaunga mkono alichotendewa.
 
Mngekuwa wema na mnampenda huyo kijana juu ya hatima ya Maisha yake .basi mngejitajidi kumshauri na kumsihi aache mara moja tabia hiyo ya kutukana matusi

Wewe ungekuwa mwema hata kwa serikali, ungeshauri polisi waharakishe uchunguzi wa waliomteka huyo Sativa.


Hakuna polisi na kiongozi yeyote WA maana atakayefuatilia ushauri wako ikiwa utakuwa na Tabia hizi za kishetani.

Utakuwa Liability sikuzote za Maisha yako kama utaendelea hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…