SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

Kama hakuna msaada wowote unategemea Mimi ningemshauri afanyeje?

Tayari anaona ameonewa, kadhulumiwa.
Nguvu Hana unataka akae kimya wakati mdomo anao angalau anaweza kuutumia kushambulia adui zake?

Kama angekuwa na bastola au bunduki ningemshauri vinginevyo
Tangia lini matusi yakawa silaha na njia ya kupata ushindi wa haki? Tangia lini matusi yakawa njia ya kupata haki? Ndio ulivyofundishwa na kujifunza hivyo? Ndio akili yako inachoamini hicho?
 
Hatakiwi kukaa kimya kwa alichofanyiwa ila kutukana watu sio sawa.
Okay, tufanye leo hii akiuliwa, ww kama raia/wanaJF ambaye ulikuwa unamsapoti kwa kutoa yale matusi utamsaidia kwa lipi?

Kwa alipotekwa nilimsaidia nini?

Mimi nasapoti jitihada zake za kujitetea ikiwa dunia tumeshindwa kumsaidia.

Ni kama Hammas na Israel.

Kumuunga mkono anayeonewa hata kwa kuonyesha ni sehemu ya kumsaidia. Kuliko kukaa kimya ambapo itaonekana inasapoti alichofanyiwa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kiwango alichofikia huyu kijana ni kibaya sana,ni kiwango ambacho hakihitaji kuvumiliwa wala kuachwa hivi hivi pasipo kudhibitiwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

Kwa sasa anatukana matusi ya nguoni mpaka mtu mwenye hekima na akili timamu unabaki unaona aibu na fedheha kubwa.Ni matusi na lugha ambazo yeyote mwenye akili Timamu,mwenye hofu ya Mungu na mcha Mungu na aliyepata malezi mazuri ya wazazi wake hawezi kutukana wala kutoa iwe hadharani au mafichoni.

Sielewi huyu kijana kama wazazi wake wapo hai au walishatangulia mbele za haki.sielewi ikiwa huyu kijana ana ndugu wa karibu au viongozi wa Dini . sielewi huyu kijana kama amewahi hata kujua kama Mungu yupo na kwamba kuna siku sisi wanadamu tutakufa na kwenda kutoa hesabu mbele za Mwenyezi Mungu.sielewi kama huyu Kijana amewahi kuishi na wazazi wake na kulelewa katika ukuaji wake.

Anatoa lugha na matusi makubwa na yenye kuibua hasira,chuki na ghadhabu kubwa sana . Ni matusi na lugha ambazo hazikubaliki mbele ya jamii iliyostaarabika. Ni matusi na lugha ambazo haziwezi na hazipaswi kufumbiwa macho na kuachwa zipite hivihivi.

Huyu kijana anapaswa kudhibitiwa haraka sana.hawezi kuachwa aendelee kutukana matusi ya Nguoni.ni lazima akamatwe na kuwajibishwa kisheria.ni lazima afundishwe adabu ,ni lazima aambiwe huo siyo utamaduni wetu na siyo maadili yetu ya kitanzania. Ni lazima aambiwe wazi kwa vitendo kuwa popote pale Duniani hakuna uhuru wa kutukana matusi kama kichaa au mwendawazimu mbele ya watu waliostaarabika na ukaachwa hivi hivi.

Kama kuna mtu anaweza kuunga mkono matusi ya huyu kijana basi atakuwa ni mtu wa ajabu sana,mwenye matatizo ya akili,mwenye kukosa hofu ya Mungu na aliyekosa malezi ya wazazi wake na mwenye matatizo kichwani na asiyejitambua.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Tangia lini matusi yakawa silaha na njia ya kupata ushindi wa haki? Tangia lini matusi yakawa njia ya kupata haki? Ndio ulivyofundishwa na kujifunza hivyo? Ndio akili yako inachoamini hicho?

Sasa kama matusi sio silaha hii mada umeileta hapa ya nini?
Au akili yako haielewi unachokijadili?

Maneno ni silaha. Matusi ni Maneno yenye sum. Ni silaha yenye sumu ndio maana umeandika hii mada.

Kumbe hujui hata ulichoandika
 
Kwa alipotekwa nilimsaidia nini?

Mimi nasapoti jitihada zake za kujitetea ikiwa dunia tumeshindwa kumsaidia.

Ni kama Hammas na Israel.

Kumuunga mkono anayeonewa hata kwa kuonyesha ni sehemu ya kumsaidia. Kuliko kukaa kimya ambapo itaonekana inasapoti alichofanyiwa
Matusi yanamsaidia vipi kupata haki anayoona hajapewa au kutendewa? Ni vipi matusi yakawa utetezi?ni vipi matusi yakakupa msaada wa njia ya kufikia ushindi wa kupata haki? Ni wapi na nani aliwa kupata ushindi kwakuporomosha matusi ya nguoni. Wewe unaweza kutukana matusi atukanayo SATIVA na ukawapa na wazazi wako waone na kusoma? Ndivyo unavyoweza kuwafundisha wanao kuwa wawe wanatukana sana matusi katika kupigania haki zao au kufikisha ujumbe fulani?Ndivyo unavyoweza kuwapa ushauri huo watu na jamii iwe ya kutukanana matusi katika kupigania haki?
 
Kwa hiyo haki inapatikana kwa kuporomosha matusi kama kichaa au mwendawazimu? Ndio akili yako inavyokuelekeza?

Hujui ulichoandika.
Hujui mambo yanayohusu vita.

Tafuta Watu katika jeshi wakuambia ni kwa namna gani matusi wanaweza kutumia katika Vita kama silaha.

Wewe UPEO wako bado upo chini kuyaelewa haya mambo
 
Saliva upo ushahidi wa wazi kuwa anayo haki ya kutoa matusi pia
Gentleman,
ni ushauri na mawaidha ya bure kabisa kwa muungwana, asitegemee wala kupumbazwa huruma za wananchi na wafadhili wake uchwara wa kitanzania waliopsnga huko kibra kenya mabatini kuna joto kichizi 🤣

kuporomosha matusi sio ujasiri hasa kwa watu wa vitendo tu 🐒
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kiwango alichofikia huyu kijana ni kibaya sana,ni kiwango ambacho hakihitaji kuvumiliwa wala kuachwa hivi hivi pasipo kudhibitiwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

Kwa sasa anatukana matusi ya nguoni mpaka mtu mwenye hekima na akili timamu unabaki unaona aibu na fedheha kubwa.Ni matusi na lugha ambazo yeyote mwenye akili Timamu,mwenye hofu ya Mungu na mcha Mungu na aliyepata malezi mazuri ya wazazi wake hawezi kutukana wala kutoa iwe hadharani au mafichoni.

Sielewi huyu kijana kama wazazi wake wapo hai au walishatangulia mbele za haki.sielewi ikiwa huyu kijana ana ndugu wa karibu au viongozi wa Dini . sielewi huyu kijana kama amewahi hata kujua kama Mungu yupo na kwamba kuna siku sisi wanadamu tutakufa na kwenda kutoa hesabu mbele za Mwenyezi Mungu.sielewi kama huyu Kijana amewahi kuishi na wazazi wake na kulelewa katika ukuaji wake.

Anatoa lugha na matusi makubwa na yenye kuibua hasira,chuki na ghadhabu kubwa sana . Ni matusi na lugha ambazo hazikubaliki mbele ya jamii iliyostaarabika. Ni matusi na lugha ambazo haziwezi na hazipaswi kufumbiwa macho na kuachwa zipite hivihivi.

Huyu kijana anapaswa kudhibitiwa haraka sana.hawezi kuachwa aendelee kutukana matusi ya Nguoni.ni lazima akamatwe na kuwajibishwa kisheria.ni lazima afundishwe adabu ,ni lazima aambiwe huo siyo utamaduni wetu na siyo maadili yetu ya kitanzania. Ni lazima aambiwe wazi kwa vitendo kuwa popote pale Duniani hakuna uhuru wa kutukana matusi kama kichaa au mwendawazimu mbele ya watu waliostaarabika na ukaachwa hivi hivi.

Kama kuna mtu anaweza kuunga mkono matusi ya huyu kijana basi atakuwa ni mtu wa ajabu sana,mwenye matatizo ya akili,mwenye kukosa hofu ya Mungu na aliyekosa malezi ya wazazi wake na mwenye matatizo kichwani na asiyejitambua.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe ni wale wale ambayo wanatakiwa kitukanwa matusi ya nguoni .
 
Kwa alipotekwa nilimsaidia nini?

Mimi nasapoti jitihada zake za kujitetea ikiwa dunia tumeshindwa kumsaidia.

Ni kama Hammas na Israel.

Kumuunga mkono anayeonewa hata kwa kuonyesha ni sehemu ya kumsaidia. Kuliko kukaa kimya ambapo itaonekana inasapoti alichofanyiwa
Sawa sawa mpambanaji wa keyboard, endelea kumpa sapoti kwa njia ya online ila lolote lifakalomkuta litampata physical na sio online Tena.
Nimemaliza.
 
Gentleman,
ni ushauri na mawaidha ya bure kabisa kwa muungwana, asitegemee wala kupumbazwa huruma za wananchi na wafadhili wake uchwara wa kitanzania waliopsnga huko kibra kenya mabatini kuna joto kichizi 🤣

kuporomosha matusi sio ujasiri hasa kwa watu wa vitendo tu 🐒
Mna bahati sana huko majimboni mnaongoza watu mnaowamudu gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom