Sativa aeleza kwa kina tukio la Kutekwa Dar: Kasi, vitisho na safari hadi Arusha

Mbaya zaidi ni pale waliokabidhiwa dhamana ya kulinda wanapogeuka kuwa ndio ADUI.

Halafu eti hawahawa ndio wanapeleleza kifo cha mzee Kibao..!!
What a joke.
Sasa hivi hatuna pa kukimbilia taasisi na watu tunaowaamini ndo wanadhurumu nafsi za watu
Hali inatisha sio Bara Wala visiwani huku visiwani watu wanapotea tu!
 
Kwani jamani kuna mtu ambaye hawezekaniki akiamuliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…