Sativa alipia matangazo Instagram kuanika uchafu wa Jeshi la Polisi

Sativa alipia matangazo Instagram kuanika uchafu wa Jeshi la Polisi

Ni kweli kabisa mkuu hii mivutano na vyombo vya Dola haito msaidia kitu na kiujumla mivutano hii anayo ifanya mwisho wake sio mzuri.
Wata mu eliminate "juzi juzi nilikua natembea hapo gerezani kwenye treni nikaona watu wengi sanaaa watu kibao"
Sativa atulize ball Aishi Maisha yake otherwise ataumia.

Haki huinua taifa.
Ipi bora, awe eliminated akiwa kimya au akiwa anapambana?
Huyo walishamuua, na yeye amelipokea hilo na ndiyo maana anatumia makosa waliyoyafanya ya kudhani wamemaliza kazi, hivyo muache awafichue, kupona kwake siyo jitihada za binaadam yoyote bali ni Mungu wake ametaka awafichue hivyo muacheni awafichue, mlishindwa kuifanya kazi yenu so muacheni aiganye ya kwake
 
Maandamano yakiitishwa kimya wanatokea wachache wakiongea watu etii atapotea taifa la maiti na makondoo hili
 
Edgar Mwakabela maarufu kama Sativa ambaye ni muhanga wa matukio ya utekaji, leo hii amelipia matangazo ya Instagram ili kuanika uhalifu unaofanywa baadhi ya askari wa jeshi la polisi.

Haya ameyaeleza Sativa katika ukurasa wake wa Twitter (X) leo tarehe 06/10/2024, ambapo ametenga bajeti ya Tshs. 135,000/= kwa muda wa siku tano kulipia matangazo hayo.

Ifuatayo ni nukuu kutoka kwenye ukarasa wa X wa Sativa:

MULILO TIME YO SHINE.🔥
Mnalipa CHAWA 20k wanichafue.

Mimi nawalipa INSTAGRAM kuaniaka uchafu wenu.

@tanpol u messed w/ GEN Z.

Budget $50 = 135,000/= TSH.
Duration: siku 5.

@tanpol shindaneni na Technology.😁

Let's Cruise🤝

Mwisho wa kunukuu.
Dogo asitumie hisia kufanya maamuzi mazito.
 
Pumbavi sana hawa watu...ndiyo maana Jomo Kenyatta aliwahi kusema watanzania ni maiti zinazotembea.
Shida tupu. Dogo kawatambua wauaji halafu watu wanajifanya hawataki kuambiwa kama huyu na huyu ndio wauaji wangu na wanaotekwa etii kisa kuogopa kupotezwa Watanzania kweli sisi wajinga sana.

Bora upinzani wangetuacha na maujinga yetu tu
 
Back
Top Bottom