Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Sasa Dokta una ushauri gani mbadala wa kumjenga kuhakikisha haki yake inapatikana na wahusika wawajibishwe?Kina nyinyi endeleeni ku "MPAMBILA" sativa ataendelea kua yeye ie.anaishi na Maumivu na anatumia dawa mpaka muda huu hapa unajifanya kum support but really hujamsaidia chochote.
Walitaka kuchukua wanamchukua na itabaki history.
Ajifunze kwa kina Dr.ulimboka, kubenea, mwakyembe, Roma, kabendera na wengineo walio wai kupitia hayo mazila.
Kunguru mwoga huepusha mbawa zake mapema.
Apitie njia gani ambazo wewe unaona zinafaa?
Au ushauri wako jamaa apotezee atulie kimya na asiwa expose wahusika?