Sativa alipia matangazo Instagram kuanika uchafu wa Jeshi la Polisi

Unashauri kwasababu upo kwenye comfort zone na sidhani kama hata umewahi kulala kituoni. Sativa ana maumivu ya mwili na saikolojia ambayo wewe huwezi kuyajua.
Jitahid kusoma comment utajua hapa nilipo na Maumivu na hata sitembei vizuri nayajua Maumivu yanafananaje na Mimi binafsi ni medical practitioner.
Hakuna sindano au dawa ya Maumivu sijawai tumia huu mwaka

Stay safe MZEE.
 
Huna maumivu wewe ungekua na maumivu usingeongea kirahisi hivyo hivi unajua maumivu ya risasi ya taya na unaishi kabisa unajua aliekupiga risasi anatamba tu tena risasi ya taya
 
Kwa hiyo solution yake ndio hiyo ya kulipia matangazo instagram!!?
Solution ni kutangaza uovu wa jeshi la polisi. Na ameshasema hata wakimuua ukweli umewekwa bayana. Kumbuka Sativa sio wa Kwanza kutekwa lakini simulizi yake imechukua taswira mpya ikifungua mijadala ya wazi yenye kuhoji ukweli. Hii ni hatua nzuri sana. Serikali sio Mungu.
 
Huna maumivu wewe ungekua na maumivu usingeongea kirahisi hivyo hivi unajua maumivu ya risasi ya taya na unaishi kabisa unajua aliekupiga risasi anatamba tu tena risasi ya taya
Sipo hapa kubishana au kukuaminisha au kubattle kwa aina yeyote.

"Is just like your in an interview, you don't have qualifications and you need a favor"
 
Nimesoma comment za mwanzo nikasema kweli tz mapoyoyo yamejaa kibao!??!.Mtu kapigwa kaumizwa.. kawtambua watu walio mfanyia unyama ule lakini hakuna hatua zinachukulia anaamua kupiga kelele..inatokea mbuzi mbulukenge mazafanta inasema ohooo dogo anapotea dah.....kweli tumelogwa.Hii nchi mtu anaweza akatuuza na hakuna atakaye sema lolote maama imejaa machizi yaan yanawogaaa na heshima za kipuuzi ....
 
Usemalo ni kweli ila njia hii itazaa matunda?
Kama itazaa matunda fine
Kama haita zaa matunda impact yake ni ipi?

Yote kwa yote kilamtu anamajibu yake katika kufumbua matatizo yake wengine wangenyamaza na kumshukuru Mwenyezi Mungu na wengine wangepasa sauti ili wapate msaada
Ila
Mwisho kilamtu anapenda kubakia na uhai wake na amani.

Mawazo yote yatapimwa kwa hatma.
 
Back
Top Bottom