macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Shsria gani wakati wao ndiyo wanaoamua nani kakosa na nani kakosewa? Ulisikia jana jindi Muliro alivyosema eti alitekwa na washikaji zake?Huu ni ushamba sasa
Badala ya kujikita kwenye sheria ili awashinde analeta utoto sasa
Wewe ambaye huna mvutano na vyombo vya dola kuna siku mwisho wako unaweza kusababishwa na hivyo hivyo vyombo.Ni kweli kabisa mkuu hii mivutano na vyombo vya Dola haito msaidia kitu na kiujumla mivutano hii anayo ifanya mwisho wake sio mzuri.
Mtu mzima ni nani? Muliro ni mtu mzima? Ana akili zote kichwani?Dogo kapoteza uelekeo huwezi kushindana na watu wazima Muliro jana kamprovoke dogo kama mzazi na dogo kaingia upepo vibaya mno
Wazazi jitahidini kukaa na vijana wenu muwafundishe ukakamavu namna ya kusema na kujibu watu wazima
Kwa hiyo walivyomteka, wakamtesa na kutaka kumuua vile ndiyo alikuwa akitumika vizuri?Ameanza kutumika vibaya
Nani anamtumia vibaya?Ameanza kutumika vibaya
Angalau wewe umeongea pointDogo kajaa upepo sana ajifunze kwa kaflag kafungua kesi ila yuko kimya kama hayupo
Ulitaka afike wapi ?Maneno ya mtandaoni hayata mfikisha popote
Ni kweli kabisa mkuu hii mivutano na vyombo vya Dola haito msaidia kitu na kiujumla mivutano hii anayo ifanya mwisho wake sio mzuri.
Ipi bora, awe eliminated akiwa kimya au akiwa anapambana?Wata mu eliminate "juzi juzi nilikua natembea hapo gerezani kwenye treni nikaona watu wengi sanaaa watu kibao"
Sativa atulize ball Aishi Maisha yake otherwise ataumia.
Haki huinua taifa.
Apotee mara ngapi ? tulia wewe mwenyewe na ujinga wakoAtulie bwana mdogo atapotea
Mkuu,Wewe ambaye huna mvutano na vyombo vya dola kuna siku mwisho wako unaweza kusababishwa na hivyo hivyo vyombo.
Maandamano yakiitishwa kimya wanatokea wachache wakiongea watu etii atapotea taifa la maiti na makondoo hiliIpi bora, awe eliminated akiwa kimya au akiwa anapambana?
Huyo walishamuua, na yeye amelipokea hilo na ndiyo maana anatumia makosa waliyoyafanya ya kudhani wamemaliza kazi, hivyo muache awafichue, kupona kwake siyo jitihada za binaadam yoyote bali ni Mungu wake ametaka awafichue hivyo muacheni awafichue, mlishindwa kuifanya kazi yenu so muacheni aiganye ya kwake
Anatumika na nani ?Ameanza kutumika vibaya
Akikaa kimya itamsaidia nini ?Dogo needs to know kwamba haitamsaidia
Dogo asitumie hisia kufanya maamuzi mazito.Edgar Mwakabela maarufu kama Sativa ambaye ni muhanga wa matukio ya utekaji, leo hii amelipia matangazo ya Instagram ili kuanika uhalifu unaofanywa baadhi ya askari wa jeshi la polisi.
Haya ameyaeleza Sativa katika ukurasa wake wa Twitter (X) leo tarehe 06/10/2024, ambapo ametenga bajeti ya Tshs. 135,000/= kwa muda wa siku tano kulipia matangazo hayo.
Ifuatayo ni nukuu kutoka kwenye ukarasa wa X wa Sativa:
MULILO TIME YO SHINE.🔥
Mnalipa CHAWA 20k wanichafue.
Mimi nawalipa INSTAGRAM kuaniaka uchafu wenu.
@tanpol u messed w/ GEN Z.
Budget $50 = 135,000/= TSH.
Duration: siku 5.
@tanpol shindaneni na Technology.😁
Let's Cruise🤝
Mwisho wa kunukuu.
Jikite kwenye sheria wewe kafungue kesi mahakamani kwani amekuzuiaHuu ni ushamba sasa
Badala ya kujikita kwenye sheria ili awashinde analeta utoto sasa
Maamuzi mazito gani ?Dogo asitumie hisia kufanya maamuzi mazito.
Shida tupu. Dogo kawatambua wauaji halafu watu wanajifanya hawataki kuambiwa kama huyu na huyu ndio wauaji wangu na wanaotekwa etii kisa kuogopa kupotezwa Watanzania kweli sisi wajinga sana.Pumbavi sana hawa watu...ndiyo maana Jomo Kenyatta aliwahi kusema watanzania ni maiti zinazotembea.
Ukiwa katika hali ya emotional usifanye maamuzi yatakayobeba hatima yako badala yake ihusishe akili ama tulia kwanza. Hakuna tatizo lisilo na suluhu.Maamuzi mazito gani ?