Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 349
- 805
Edgar Mwakabela maarufu kama Sativa ambaye ni muhanga wa matukio ya utekaji, leo hii amelipia matangazo ya Instagram ili kuanika uhalifu unaofanywa baadhi ya askari wa jeshi la polisi.
Haya ameyaeleza Sativa katika ukurasa wake wa Twitter (X) leo tarehe 06/10/2024, ambapo ametenga bajeti ya Tshs. 135,000/= kwa muda wa siku tano kulipia matangazo hayo.
Ifuatayo ni nukuu kutoka kwenye ukarasa wa X wa Sativa:
MULILO TIME YO SHINE.🔥
Mnalipa CHAWA 20k wanichafue.
Mimi nawalipa INSTAGRAM kuaniaka uchafu wenu.
@tanpol u messed w/ GEN Z.
Budget $50 = 135,000/= TSH.
Duration: siku 5.
@tanpol shindaneni na Technology.😁
Let's Cruise🤝
Mwisho wa kunukuu.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Sativa: Nilitekwa na Jeshi la Polisi wakiwa na lengo la kuniua, hata nikipotea kesho Jeshi la Polisi litakuwa limehusika