Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Ukifuatilia sakata la Kijana maarufu kama Sativa aliyetekwa na kuokotwa huko Katavi, Yamesemwa mengi, Lakini swali linabaki
Nani ameshakamatwa na kuwajibishwa kwa kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria? Kuna kesi yoyote inayoendelea kuhusu wahusika? Wengi wanatajwa mf. Mafwele, Je, ameshafikishwa kwenye vyombo husika?
Vyombo vya ulinzi na usalama vinatoa ushirikiano kiasi gani na mhusika katika kuhakikisha linawapata wale wote waliohusika?
Mambo kama haya ndiyo yanayoibua mashaka juu ya uhusika wa matukio haya na vyombo vya ulinzi na usalama.
HAKI HAIPOTEI