Sativa amezungumza mengi kuhusu waliomteka. Je, nani amefikishwa mbele ya sheria mpaka sasa?

Hebu Leteni post za sativa humu kabla ya kutekwa

Isije ikawa tunahangaika na kichaa halafu badala ya kumtibu, sisi tunampa umaaarufu
Soma thread hii;
 
Ukifuatilia sakata la Kijana maarufu kama Sativa aliyetekwa na kuokotwa huko Katavi, Yamesemwa mengi, Lakini swali linabaki

Nani ameshakamatwa na kuwajibishwa kwa kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria? Kuna kesi yoyote inayoendelea kuhusu wahusika? Wengi wanatajwa mf. Mafwele, Je, ameshafikishwa kwenye vyombo husika?

Vyombo vya ulinzi na usalama vinatoa ushirikiano kiasi gani na mhusika katika kuhakikisha linawapata wale wote waliohusika?

Mambo kama haya ndiyo yanayoibua mashaka juu ya uhusika wa matukio haya na vyombo vya ulinzi na usalama.

HAKI HAIPOTEI
Mambo kama haya ndiyo yanayoibua mashaka juu ya uhusika wa matukio haya na vyombo vya ulinzi na usalama.📌🔨
 
Ukifuatilia sakata la Kijana maarufu kama Sativa aliyetekwa na kuokotwa huko Katavi, Yamesemwa mengi, Lakini swali linabaki

Nani ameshakamatwa na kuwajibishwa kwa kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria? Kuna kesi yoyote inayoendelea kuhusu wahusika? Wengi wanatajwa mf. Mafwele, Je, ameshafikishwa kwenye vyombo husika?

Vyombo vya ulinzi na usalama vinatoa ushirikiano kiasi gani na mhusika katika kuhakikisha linawapata wale wote waliohusika?

Mambo kama haya ndiyo yanayoibua mashaka juu ya uhusika wa matukio haya na vyombo vya ulinzi na usalama.

HAKI HAIPOTEI
Uzi mzuri,Ngoja waje.
 
Hebu Leteni post za sativa humu kabla ya kutekwa

Isije ikawa tunahangaika na kichaa halafu badala ya kumtibu, sisi tunampa umaaarufu
Hii hapa post moja kabla hajatekwa:-
Screenshot_20240903_152008_Chrome.jpg
 
Hebu Leteni post za sativa humu kabla ya kutekwa

Isije ikawa tunahangaika na kichaa halafu badala ya kumtibu, sisi tunampa umaaarufu
Anamatatizo ya akili ukuaji wake kulikuwa wa mashaka sana
 
Ukifuatilia sakata la Kijana maarufu kama Sativa aliyetekwa na kuokotwa huko Katavi, Yamesemwa mengi, Lakini swali linabaki

Nani ameshakamatwa na kuwajibishwa kwa kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria? Kuna kesi yoyote inayoendelea kuhusu wahusika? Wengi wanatajwa mf. Mafwele, Je, ameshafikishwa kwenye vyombo husika?

Vyombo vya ulinzi na usalama vinatoa ushirikiano kiasi gani na mhusika katika kuhakikisha linawapata wale wote waliohusika?

Mambo kama haya ndiyo yanayoibua mashaka juu ya uhusika wa matukio haya na vyombo vya ulinzi na usalama.

HAKI HAIPOTEI
kusoma hujui hata kuangalia picha tu hujui? ukiona wenye wajibu wa kuchunguza, kukamata na kupeleka mahakamani hawajafanya hivyo pamoja na kelele na evidence nyingi alizotoa, jua wao ndio waliohusika kama sativa anavyosema. ila wajue yupo Mungu atoaye haki kwa kila mtu, Mungu ndiye mbabe wetu sote.
 
Hebu Leteni post za sativa humu kabla ya kutekwa

Isije ikawa tunahangaika na kichaa halafu badala ya kumtibu, sisi tunampa umaaarufu
Mbona wewe ni kichaa (kulingana na hii comment) lakini hautekwi?
Maana yake ni kwamba, uhai ni HAKI ya kila Mtanzania; aliye na asiye na kichaa.
 
Sitetei kabisa utekaji

Hata dogo hakustahili kutekwa, alitakiwa kupelekwa hospitali
 
Juzi kwenye kongamano j4 murilo alikuwa anajing'ata tu hakuna alichoongea zaidi ya mikwara na kusifia hotuba ya rais wa tls kama defensive mechanism, na kwa sifa zile kwa mwabukusi kwa kiasi fulani kume mneutralize mwabukusi.
 
Ukifuatilia sakata la Kijana maarufu kama Sativa aliyetekwa na kuokotwa huko Katavi, Yamesemwa mengi, Lakini swali linabaki

Nani ameshakamatwa na kuwajibishwa kwa kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria? Kuna kesi yoyote inayoendelea kuhusu wahusika? Wengi wanatajwa mf. Mafwele, Je, ameshafikishwa kwenye vyombo husika?

Vyombo vya ulinzi na usalama vinatoa ushirikiano kiasi gani na mhusika katika kuhakikisha linawapata wale wote waliohusika?

Mambo kama haya ndiyo yanayoibua mashaka juu ya uhusika wa matukio haya na vyombo vya ulinzi na usalama.

HAKI HAIPOTEI
bongo nchi moja ya ajabu sana yaani vyombo vya dola vinatuhumiwa ila hakuna mtu serikalini ambaye anachukua hatua yoyote ebu imagine watu wamepotea kwa kutekwa hadi waleo hawapo na hakuna polisi wanachosema tena hbari hawana.. yaani ni kama wananchi tumeshikiliwa mateka na serikali wanaamua sasa wanafanya nini na nani wamfanye nini..!
 
Muuaji hawezi kuwajibishwa Kwa sababu alitumwa na kizimkazi.Angekuwa hajatumwa na kizimkazi angekuwa amesha kk amatwa zamani sana.
 
..kesi ya Sativa itapotezewa na Polisi.

..ukisikiliza maelezo ya Polisi kupitia kamanda Muliro utaelewa kwamba hawana nia ya kutenda haki.
Je sio sawa akienda polisi kuripoti kwa uwazi kila mmoja ajue amefuata sheria kama inavyo elekeza!
 
..Polisi hawatoi ushirikiano wakipotea watu wa upinzani haswa Chadema.

..inawezekana genge la utekaji sio Polisi, lakini limewazidi maarifa na rasilimali Polisi wetu.

..huenda kuna genge la utekaji sawa na genge la uhalifu la MAFIA.
 
Ukifuatilia sakata la Kijana maarufu kama Sativa aliyetekwa na kuokotwa huko Katavi, Yamesemwa mengi, Lakini swali linabaki

Nani ameshakamatwa na kuwajibishwa kwa kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria? Kuna kesi yoyote inayoendelea kuhusu wahusika? Wengi wanatajwa mf. Mafwele, Je, ameshafikishwa kwenye vyombo husika?

Vyombo vya ulinzi na usalama vinatoa ushirikiano kiasi gani na mhusika katika kuhakikisha linawapata wale wote waliohusika?

Mambo kama haya ndiyo yanayoibua mashaka juu ya uhusika wa matukio haya na vyombo vya ulinzi na usalama.

HAKI HAIPOTEI
Kwanza Sativa ni nani maana tumekua tunasikia tu sativa sativa sativa. Mimi kwanza naamini maneno ya mkuu wa jeshi kwamba Sativa alipozinduka huko Katvi alikopelekwa na kutupwa alisema alitekwa na washikaji. Clip yenye hiyo kauli yake ya kwanza ingechezwa na kuchezwa mara nyingi. Nafikiri kuna kitu kinaendlea cha uhalifu nchini kisha wanasiasa wa upinzani wanarukia kunafaika kisiasa. Huenda polisi wanajua na pengine wanashiriki ndio maana wahalifu hao hawakamatwi. Kina Sativa huenda ni wafanya biashara wa mihadarati. Tunajua hiyo biashara ilipigwa vita na kupungua sana awamu ya tano lakini sasa kwenye awamu ya sita imerejea tena wahusika wanalindwa na kusindikizwa badala ya kushikwa. Ndio maana hatuikii tena vita dhidi ya madawa ya kulevya. Hapo nimekuja na kufikirika hebu chambueni kwa mtazamo huo. Haiwezekani eti watu wanatekwa wengi hawana umashuhuri wowote kwenye jamii ila wakishatekwa unasikia chama fulani watakwambia eti ooh alikua mwanachama wetu, ooh likua katibu wetu wa mtaa.
 
Back
Top Bottom